Sodoku
JF-Expert Member
- Feb 3, 2016
- 1,260
- 2,864
Nimeshtuka namna ambavyo watu wamekuwa na ufaham mdogo kiasi ambacho najiuliza kwa NINI WATU WAMEKUMBATIA UPUMBAVU NA KUONA NI KITU CHA KUJIVUNIA? Makonda sikuwah kuwa na ukaribu naye hasa kutokana na ukosefu mkubwa wa adabu aliowah kuonesha. nlimdharau snaa na kumuona mtu anayetumika vibaya katika siasa. Sijajua kama yale mambo alitubu au vipi but sipo kwa ajili ya kumhukumu.
Kwa Makonda kwenda kuonana na Askofu Pengo ni suala lake binafsi na huko ndiko alikopaswa kuenda akaombe upatanisho na Mungu na Pia akaombe busara kutokana na mara nyingi kuonesha hana busara. Watu badala ya kufurah wanapinga hili pia? Yesu alikuwa kwa ajili ya wenye dhambi. So sio jambo la ajabu kwa Makonda kwenda kuonana na watumishi.
Tatizo ni nini? kaonana na Askofu? tulitaka au tulipenda aonane na nani? na kama kaenda huko kaenda yeye kaama yeye wala hakuna uhusiano na CHEO CHAKE KAMA MKUU WA MKOA. Ingekuwa Askofu Pengo ameenda ofisi za Mkuu wa Mkoa hapo tungelalamika kuhusisha dini za ofisi za siasa.
Nimeona hata akina ndugu Said Mohamed wamelichukulia kama ni issue. Tusifunikwe macho na itikadi zetu kiasi tukaacha kutumia akili ndogo na kuangalia mambo ya vyama na dini zetu katika mambo ya kawaida kabisa. Tunalalamika kwa mambo madogo na hivyo kuonesha tu wapumbavu na so naive.
Hata kama tunamchukia Makonda basi tumchukie tu lakini hii isitufanye tushindwe kutumia akili zetu hata kwa kiwango kidogo kabisa.