Suala la Maji: Utawala corrupt unatuletea shida, Mchina akamatwa akichepusha maji mto Ruvu kumwagilia mboga

Lita milioni moja kwa saa? Kwa siku lita milioni 24, kwa wiki, mwezi, mwaka huo mto ungekuwa umeisha.

CCM hilo limashine la Lister Peter tena la Diesel ndio linavuta lita milioni moja kwa saa?
 
Mkuu,kwa mujibu wa mzee Kasesela hapo hizo ni lita milioni 2 zinatolewa zisilete madhara kwenye mitambo.
Kwa hiyo lita milioni moja ni nusu ya hayo maji uyaonayo hapo.

Tunaambiwa tena mchina anayatumia ndani ya lisaa tu,kumwagilia matembele na mchicha ..maamae bongo tunaonana wajinga sana!
 
Back
Top Bottom