Jatropha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2009
- 1,151
- 199
Kama amabvyo Dr Magufuli alivyowachunganya watu katika hifadhi za barabara ndivyo anavyotaka kuwachunganya katika vivuko; ni lazima ijulikane gharama ya kila kivuko kulingana na muda unaotumika. Huwezi bei ya kivuko kinachotumia dakika 30 kutoka upande mmoja hadi mwingine na hiki cha Kigamboni kinachotumia dakika 3 au 4 hivi. Huu ni ubabe wa Dr Magufulki akam alivyozoea.
Umnedaqi huko nyuma Waziri MKuu alimzima ilikuw amuhimu sana kumzima kwa sababu zifuatazo:-
Nani asiyejua kuwa kati ya 1970 na 80 Tanzania chini ya Mwalimu Nyerere ilitekeleza sera ya vijiji vya ujamaa kwa kuwahamisha kwa nguvu watu toka katika makzi na mashamba yao na kuwahamishia katika vijiji vipya vua ujamaa vilivyoanzishwa. Katika utekelzaji wake Serikali ilifiukia hatua ya kuwachomeaq nyumba wananchi waliokataa kuhamishwa kuacha makzi na mashamba yao. Nyumba na mashamba vilichomwa moto, mashamba kutelekezwa ili mradi watu wahamie vijiji vy ujamaa.
Katika mikoa mbali mbali vijiji vya ujamaa vilianzishwa kando kando ya barabara kuu za nch; katika Jimbo la Ubungo baadhi ya vijiji hivyo ni pamoja na vijiji vya ujamaa vya Kimara, Temboni, Mbezi, Kibamba, na Kiruvia vilivyoanzishwa kando kando ya barabara ya Morogoro ambapo wananchi waligawiwa ardhi na serikali toka pembezoni kabisa na barabara. Wakati wa ugawaji huo wa ardhi hapakuwepo kitu nkama hifadhi ya barabara. Kuthibitisha hilo, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliwapatia hati za kumiliki ardhi za miaka 99 baadhi ya wananchi waliohamishiwa katika vijiji hivi au kupata ardhi ya kuishi na kulima katika vijiji hivi.
Mwaka 1999 Tanzania ilipitisha Sheria ya ardhi ya vijiji namba 4 na 5 za 1999, Kifungu cha 15 cha Sheria ya ardhi ya vijiji nmba 5 ya 199 ikinatamka kuwa "Ugawaji wa ardhi uliofanywa kwa mtu au kundi la watu waishio au waliotakiwa kuhamia na kuishi katika kijiji wakati wowote kati ya tarehe 01 Januari 1970 na tarehe 31 Desemba 1977, kama ugawaji huo ulifanywa kwa mujibu wa sheria au kinyume cha sheria au bila kuzingatia sheria yoyote, sasa inathibitishwa kuwa ugawaji huo ni halali na kwamba daima ni wenye nguvu ya kutoa haki na wajibu kwa kisheria kwa kundi la watu waliogawiwa ardhi hiyo......
Aidha kifungu cha 16 kinatamka kuwa "Kwa madhumuni ya kuepusha mashaka na ili kuwezesha kuwapo kwa usalama wa miliki ya ardhi na hivyo kuchangia maendeleo ya ardhi ya kijiji, masharti ya Kifungu cha 15 yatatumika kila mara ugawaji wa ardhi ya kijiji ulipofanywa na Halmashauri ya Kijiji au mamlaka nyingine yoyote mnamo na baada ya tarehe 01 Januari 1978 hadi tarehe ya kuanza kutumika kwa sheria hii na kwamba badala ya tarehe zilizotajwa katika kifungu cha 15, kumewekwa tarehe kati ya tarehe 01 Januari 1978 na tarehe ya sheria hii kuanza kutumika".
Vilevile Sheria ya barabara ya Morogoro ya 1967 inatambua kuwa eneo la hifadhi ya barabara kuu hapa nchini ni Mita 22.5 kila upande kutoka katik ati ya barabara. Aidha Sheria ya barabara namba 13 ya 2007 iliongeza eneo hilo kufikia Mita 30 ikimaanisha wananchi wana haki ya kulipwa fidia kwa ardhi ilyoongezwa kuwa hifadhi ya barabara.
Aidha Kanuni za barabara za sheria hiyo zilizopitishwa mwaka 2009 zinztamka kuwa upana wa njia moja ya barabara (lane) kwa barabara zote kuu hapa nchni hautapungua Mita 3.25. Hivyo upana wa hifadhi ya barabara wa Mita 30 unao uwezo wa kuzalisha njia za barabara mpya Mita 30 gawanya kwa Mita 3.25= 9.2. Hivyo eneo halali la hifadhi ya barabara hapa nchini linao uwezo wa kuzalisha njia 18, yaani 9.2 kila upande katika barabara ya Morogoro kabala Dr Magufuli hajawafikia wananchi walioko nje ya Mita 30 kila upande.
Lakini kutokana na dharau kwa maisha ya binadamu na ubabe huku akifahamu kuwepo kwa sheria iliyotajwa hapo inayolinda ardhi ya wananchi waliokuwa wakiishi katika vijiji vya Kimara, Mbezi, Kibamba na Kiruvia (alikuwa mmoja wa wabunge na naibu waziri wakati sheria ya ardhi ikipitishwa mwaka 1999); mwaka 2001 wakati wa ukarabati mkubwa wa barabara ya Morogoro alimuagiza mkandarasi aitwaye Scabphil Colas kuingia ndani ya ardhi na makazi ya wananchi Mita 30 hadi 120 toka katika ya barabara kupiga nyumba hizo alama ya X, kupanda mawe na mabango yanayoonyesha mwisho wa hifadhi ya barabara.
Toka mwaka 2001 wananchi wa maeneo haya wamekuwa wakiishi kama wako uhamishoni kwa kushindwa kutumia ardhi yao kujiletea maendeleo na kujipunguzia umaskini. Ndio maana katia ya Ubungo na Kibaha huwezi kupata huduma zozote muhimu kama vile mabenki, ATM, Supermarket n.k.
Ili kuonyesha naman Dr Magufuli anavypoweza kutumia madaraka yake vibaya, alipoyeuliwa tena kushika wadhifa huo 2010/11 aliigiza TANROAD kuwelea alama za X nyumba zote zilizoko ndani na nje ya eneo halali la hifadhi ya barabara yaano ndani na nje ya Mita 30 hadi Miata 120; aidha mara kwa mara amekuwa akidai kuwa uwepo wa nyumba chanzo cha msongamano wa magari katika barabara hiyo. Hali ukweli ni kuwa zipo nyumba chache sana katika eneo halali la hifadhi ya barabara la Mita 30 kila upande wa barabara. Je kabala Dr Magufuli hajawabomolea watu walioko kati ya Mita 30 hadi 120 ameshajenga njia ngapi katika eneo halali la hifadhi ya barabara lenye uwezo wa kubeba njia mpya 18? Haya kama sio matumizi mabaya ya madaraka swa na kuwataka wananchi kupiga mbizi ni nini hasa?
Mara kwa mara Dr Magufuli maekaririwa akidai kuwa nyumbazote zilizowekewaalama ya X zilizondani na nje ya eneo halali la hifadhi ya barabara zitzbomolewa pasiupo fidia yoyote kwa madaia kuwalipa fidia ni kuitia hasara serikali. Sasa hawa wananchi ambao walichomewa nyumba zao na kuhamishiwa katika vijijivya ujamaa kanda kandao ya barabara ya Morogoro wana makosa gani; kama kweli walivamia eneo hilo mbona Serikali anayoitumika imekuwa ikiwapatia hati miliki?
Kama kweli Dr Magufulia ana uchungu na kupotea kwa fedha za serikali alipaswa kuwa maeshajiuzuru zamani kwani amekuwepo katika mabaraza ya mawaziri ambayo yamehusika na upotevu mkubwa sana wa fedha za watanzania k.m IPTL, EPA, MEREMETA, TANGOLD, RADA, RICHMOND, DOWANS n.k