wambura marwa
JF-Expert Member
- Mar 7, 2015
- 2,173
- 1,126
Mi sidhani kama mtanzania kagawanywa bali ulafi na ujuaji mwingi siku hizo sheria mnazozipitisha kwa kuitikia ndiyoooo wapinzani wakisema jamani hapa kuna walakini tuwe makini mnawazodoa na kuwatukana lakini maji yakiwafika shingoniWatz sasa wameshagawanywa vya kutosha.Wamebaki kulaumiana kuwa ni CCM au Upinzani.Poleni.Lakini jueni mnawapa mabeberu nafasi ya kunyonya wazi wazi.
Mnataka kuonewa huruma dah kweli ni mashikoro mageni.