Suala la madini Tanzania; Kanuni ya 'Wagawanye ili uwatawale' inafanya kazi

Watz sasa wameshagawanywa vya kutosha.Wamebaki kulaumiana kuwa ni CCM au Upinzani.Poleni.Lakini jueni mnawapa mabeberu nafasi ya kunyonya wazi wazi.
Mi sidhani kama mtanzania kagawanywa bali ulafi na ujuaji mwingi siku hizo sheria mnazozipitisha kwa kuitikia ndiyoooo wapinzani wakisema jamani hapa kuna walakini tuwe makini mnawazodoa na kuwatukana lakini maji yakiwafika shingoni
Mnataka kuonewa huruma dah kweli ni mashikoro mageni.
 
Mi sidhani kama mtanzania kagawanywa bali ulafi na ujuaji mwingi siku hizo sheria mnazozipitisha kwa kuitikia ndiyoooo wapinzani wakisema jamani hapa kuna walakini tuwe makini mnawazodoa na kuwatukana lakini maji yakiwafika shingoni
Mnataka kuonewa huruma dah kweli ni mashikoro mageni.
Eleza sheria imekosewa wapi
 
Huwezi kupata muafaka kwenye madini kama hakuna umoja na ushirikiano kati yetu.Lissu ametoa angalizo na wayfoward lakini wanaccm mko busy kumkejeli na kumtukana,kama bandiko lako lilivyo.

Bila umoja,Upendo na mshikamano katika Taifa hakuna Mchanga wala cement.
Sijui kama umeutafakari vizuri ushauri wa Lissu.Ni wa kioga zaidi na kejeli na wenye lengo LA kupotosha ili serikali iharibikiwe.Kausome upya uone.Lissu anamgwaya zaidi mwizi.Sikutarajia kuna woga huu kwa Lissu
 
Ndivyo unavyoamini na unataka wengine pia tuamini hivyohivyo bila kuhoji? Kinachohojiwa ni kwamba ni kweli yale makinikia yana dhahabu nyingi kuliko inayozalishwa migodini na kusafishwa hapa nchini! Tunataka ukweli usemwe sio kulishana matango pori hapa!
Suala hapa ni uadilifu wa watz wala siyo sheria.Madini yaliyopo kwenye makontena ni zaidi ya mara 10 ya ilivyokuwa imeelezwa kwenye makaratasi ya kusafirishia mchanga huo.Sheria hapo imechangia nini kwenye wizi huo?
 
Mijitu ilishajitoa ufaham siasa imeakibu mifumo yao ya kufikili na kuwa wazalendo
 
Suala hapa siyo upungufu wa sheria.Suala ni upungufu wa maadili kwa baadhi ya watz waliokabidhiwa jukumu la kusimamia(TMAA).Mwekezaji amerubuni baadhi ya watz wenzetu.Sasa rais hapo anakosa?Hatua anazowachukulia hazitoshi?
Wakati hayo yakitokea alikuwa wapi? Or rather alikuwa chama gani na sasa yuko chama gani?
 
Ndivyo unavyoamini na unataka wengine pia tuamini hivyohivyo bila kuhoji? Kinachohojiwa ni kwamba ni kweli yale makinikia yana dhahabu nyingi kuliko inayozalishwa migodini na kusafishwa hapa nchini! Tunataka ukweli usemwe sio kulishana matango pori hapa!
Kwa hiyo wewe huamini Matokeo ya uchunguzi wa tume?.Sasa unataka umwamini nani sasa?
 
Kazi kweli

Na bado wakati tunadanganywa wanaCCm wanataka tupige makofi!Mkuu umeion ahii wenzetu waliweka humu toka 2008:


Douglas Lake Minerals Board of Directors and Director of Exploration Appointments



Last update: 3:15 p.m. EDT Aug. 4, 2008



VANCOUVER, Aug 04, 2008 /PRNewswire-FirstCall via COMTEX/ -- Douglas Lake Minerals Inc. (OTC BB: DLKM./ Frankfurt: D6O.F) announced today the appointment of two senior Tanzanian officials to the Board of Directors. Mr. Gus Sangha and Dr. David Groves have stepped down from the Board and the Company thanks them for their valuable assistance during their tenure. Dr. Groves will remain with Douglas Lake as Director of Exploration.



Dr. Medard M.C. Kalemani, LLB, LLM, PhD, Mining Management - Director

Dr. Kalemani is the General Counsel to the Millennium Challenge Account Tanzania, Ministry of Finance, which is an autonomous government entity responsible for managing energy, transportation and water projects in Tanzania. He served as State Attorney of the Tanzanian Ministry of Energy and Minerals from 1999 to 2007, and from 1997 to 1998, he was a Legal Officer and Manager of the Tanzanian Branch of the International Rescue Committee, UNHCR. He was also legal consultant to UNDP Vienna in Tanzania and an independent consultant on a team that reviewed the Minerals Act of the Republic of South Africa. In 2002, Dr. Kalemani authored a thesis titled "Comparative Study of Mineral Laws" which compared laws between Tanzania, South Africa, Namibia and Botswana.



Prof. Abdulkarim Mruma, BSc, MSc, PhD, Geology - Director

Prof. Mruma is the Chief Executive Officer of the Geological Survey of Tanzania, Ministry of Energy and Minerals and since 2004, he is the Vice Chairman of the Association of Geological Survey of Africa. He was the Head of the Department of Geology at the University of Dar es Salaam from 1994 to 2004. Other positions he has held include: National Coordinator, International Geological Correlation Programs; External Examiner, Department of Geology of the University of Nairobi in Kenya and the University of Makerere in Uganda. He also has had extensive involvement as a board and steering committee member of numerous geological and environmental research projects and groups. Prof. Mruma has published over thirty international publications, mainly in the fields of structural geology, precambrian geology, stratigraphy and mineral deposits. He has consulted on and authored more than twenty technical reports in the fields of resource assessments and engineering geology. He is currently a member of the Geological Society of Africa and the Tanzania Geological Society. Prof. Mruma is also a Board Member of Williamson Diamonds Limited, Diamond Mine at Mwadui. The Williamson Diamond Mine is owned by De Beers and the Government of Tanzania.



Dr. David Groves, BSc, PhD, Geology - Director of Exploration

Dr. David Groves, BSc Honours and PhD, started his career working for the Geological Survey of Tasmania. In 1972, he joined the University of Western Australia where he progressed to full Professor by 1987, teaching undergraduate classes in field and structural geology and ore genesis/economic geology. From 1987 to 2005, Dr. Groves was Director of both the Centre for Strategic Mineral Deposits and Centre for Global Metallogeny. During his academic career, he authored and co-authored over 500 papers and is widely published on Archaean evolution, the nature and genesis of komatiite-hosted Ni-Cu and orogenic gold deposits, global metallogeny and conceptual targeting of mineral deposits. He was President of the Geological Society of Australia and the Society of Economic Geologists, and is currently President-Elect of SGA (European Society of Economic Geologists). He has received nine medals for his research, including the Silver Medal of the Society of Economic Geologists and the Geological Association of Canada Medal. Dr. Groves has also been contracted as a consultant to the Geological Survey of Tanzania.



About Douglas Lake

DLKM is an emerging mineral exploration company focused on exploring and developing gold, copper, nickel, uranium, and diamond mining opportunities in Tanzania. For more information, go to www.douglaslakeminerals.com



This release contains forward-looking statements which involve risks and uncertainties. Complete forward-looking statement available at www.douglaslakeminerals.com/forwardlooking.html.
 
Mkapa, Kikwete, Chenge, Karamagi ndio wahusika wakuu Wa wizi huu. Wawekwe chini ya ulinzi kwanza watuambie walihongwa kiasi gani. Tuwapeleke uwanja Wa taifa wakahojiwe na wananchi bila Polisi kuwepo.

Hapo wananchi tutakuwa pamoja na rais wetu.

Ukweli unauma. Rais wetu anateseka kwa sababu ya wajinga wachache waliomtangulia.
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom