- Thread starter
- #21
Mjadala hapa ni mchanga wa Madini.Tatizo siyo CCM, Tatizo ni Viongozi wa CCM wanaopandikiza Chuki,visasi na ubaguzi miongoni mwa Watanzania ili kwa pamoja tushinde kutetea raslimali zetu hao ni wakwanza.Wa pili ni wanaccm wanao fikiria chuki,Ubaguzi na visasi kwa Wapinzani ndiyo CCM italeta Maendeleo bila kujua hata Wapinzani ni Watanzania wenye haki sawa na wao.
Siku wanaccm hawa watakaporealise kwamba Wapinzani ni Watanzania wenye haki sawa na CCM ndipo Maendeleo yatakapokuja.
Maendeleo hayaji kwenye chuki na ubaguzi. Wanaccm walitakiwa wawachukie watawala waliojilimbikizia Mali na si Wapinzani lakini kwa sababu ya kukosa elimu wanaccm wamekuwa wakiaminishwa kwamba Wapinzani ni adui wa Maendeleo wakati adui wa Maendeleo ni wale tuliowapa dhamana ya kutuongoza.
Ni wakati umefika wa wanaccm kusema.basi kwenye Chuki na ubaguzi ili tupate Maendeleo