Suala la kuwa na imani tofauti linapotatiza taasisi ya ndoa

Kweli nimegundua haiwezekani ukizingatia kumbe wenzetu wanatuita ma'kafr......tafuta hata Mromani,Mlutheri,Muanglikana n.k lakini waepuke hawa Anti-Kafri

Ni ngumu, kuna waliobadili dini, baadae ndo zilipopata misukosuko wamerejea kwenye dini zao na kwaacha watoto wakitangatanga. wengi wanabadili dini lakini hawafuati ipasavyo misingi ya dini yao 'mpya' mtu anakuwa mkristu/muislam lakini hutakaa umuone kanisani/msikitini. Inakuwa amebadili tu ili asimkose mme. Nasema mme kwani kwa uzoefu wangu nimeshuhudia ndoa moja tu jamaa alibadili dini kumfata dem. watu waliponda sana eti jamaa kashikwa masikio ndo mana kamfata dem.

Ushari: Ni vyema mkalizungumza na mwenzio badala ya kumshawishi ama kumtishia kuwa asipobadili utamuacha, oitakuja kuku cost baadae.

No comment maana mada imenigusa mpaka rohoni...coz am deeply in love with a christian catholic man...

Me nimwemwacha the most beautiful woman I've ever been with cause cause she is sunni muslim, and my family didnt agree with that.

nina rafiki yangu,baba mkristo,mama muislam.wamezaliwa 5,maisha yanaenda,kipindi hiki,mama yao anafunga,na hao watoto j.2 wanaenda kanisani.x.mas wanasheherekea,idd wanasheherekea.Dini ni imani yako mwenyewe,muhimu kuelewana katika maisha.hao wazazi wanaishi vizuri tu.hakuna misukosuko yoyote kwa upande wao,na hao wazazi wanaishi pamoja zaidi ya miaka 20

Wanawake wa kiislam ni wazuri na wana maadili kuliko wa kikirsto! Huo ni ukweli usopingika!
Ndio maana wakrsto wengi wanawakimbilia dada zetu!!

Wanaweza. Dini mtakubaliana kama kila mtu abaki na yake au mmoja amfate mwenzie.

Wanawake wa kiislam ni wazuri na wana maadili kuliko wa kikirsto! Huo ni ukweli usopingika!

Ndio maana wakrsto wengi wanawakimbilia dada zetu!!

hayo ni matokeo ya research au?

Inawezekana ila mara nyingi inategea sana msimamo wa familia ukoje ...kwasababu inaweza kuwainfluence sana wawili wapendanao.

Mimi bibi yangu alibadili akawa mkristo alipoolewa na babu yangu kwahiyo mama yangu mdogo alipobadili kua muislamu kwaajili ya mume wake hamna aliyeona ubaya kwasababu hata uislamu tunaukubali.

nina rafiki yangu,baba mkristo,mama muislam.wamezaliwa 5,maisha yanaenda,kipindi hiki,mama yao anafunga,na hao watoto j.2 wanaenda kanisani.x.mas wanasheherekea,idd wanasheherekea.Dini ni imani yako mwenyewe,muhimu kuelewana katika maisha.hao wazazi wanaishi vizuri tu.hakuna misukosuko yoyote kwa upande wao,na hao wazazi wanaishi pamoja zaidi ya miaka 20

Hii ni fact tupu Mkuu.

Wanawake wa kiislam ni wazuri na wana maadili kuliko wa kikirsto! Huo ni ukweli usopingika!
Ndio maana wakrsto wengi wanawakimbilia dada zetu!!
Utafiti unaonesha wadada wa kiislamu ni mafundi kwenye kutoa tigo, kitu ambacho wadada wa kikristo hawakiwezi, chunguza kwa makini mikoa yote yenye uislamu kwa wingi ndio mafundi wa kutoa tigo na mashoga ni wa kumwaga.

Hapohapo kwenye dini ni imani yako,IMANI YA WAISLAM HAIRUHUSU KUOA/KUOLEWA na asokua mwenzako ktk dini
nina rafiki yangu,baba mkristo,mama muislam.wamezaliwa 5,maisha yanaenda,kipindi hiki,mama yao anafunga,na hao watoto j.2 wanaenda kanisani.x.mas wanasheherekea,idd wanasheherekea.Dini ni imani yako mwenyewe,muhimu kuelewana katika maisha.hao wazazi wanaishi vizuri tu.hakuna misukosuko yoyote kwa upande wao,na hao wazazi wanaishi pamoja zaidi ya miaka 20

Utafiti unaonesha wadada wa kiislamu ni mafundi kwenye kutoa tigo, kitu ambacho wadada wa kikristo hawakiwezi, chunguza kwa makini mikoa yote yenye uislamu kwa wingi ndio mafundi wa kutoa tigo na mashoga ni wa kumwaga.

Wacha uwongo wewe. Zamani wakristo walikuwa wakificha sana hayo mambo lakini na wao ni mabingwa. Siku hizi utandawazi unawaumbua. Huko maulaya kulikoshamiri ukristo ndiyo wataalamu wa kutupwa wa mambo haya.

Wewe unaishi Ulaya nchi gani? na ni nchi ya Ulaya wanaume wanawang'ang'ania mabinti wa kiislamu zaidi ya kuwaona ni kizazi cha magaidi?

Back
Top Bottom