Suala la kuwa mwanaharakati ni lazima kupinga kila kitu?

mdeki

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
3,300
466
nimekuwa nikijiuliza sana juu ya hii dhana ya uanaharakati bila kupata majibu kwamba kuwa mwanaharakati ni lazima upinge kila jambo. nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana mijadala ya kitaifa wanaharakati hupinga kila jambo. nawasilisha
 
umepima vipi wanapinga kila kitu?
hivi kuna mtu anauwezo wa kujadili kila kitu kwa siku moja au masaa kadhaa?
wanachofanya wana harakati ni kuzungumzia maeneo dhaifu na ndio maana wanakuwa wanaharakati na wako makundi
mengi kila mtu ana target area inayomkela zaidi
sasa wewe kama unataka wawe washereheshaji you have done a wrong move
re think
 
Cha maana ulichokiona nchi hii ni kipi hasa? barabara zilizochini ya kiwango! hospitali zisizo na viwango! Dar yenye maji safi na yanayopatikana muda wote na kwa kila nyumba! Dar ni jiji au manispaa! Mji wa Kigamboni una maji ya bomba na salama! Shule zenye hadhi ya kishule! umeme uhakika! usafiri wa mjini (public Transport) wa uhakika! Nchi yenye BOP(balance of payment)+?, Nchi ambayo sarafu yake inanguvu, Nchi ambayo inflation iko chini!, nchi ambayo exportation iko juu!, nchi yenye viwanda vingi!, nchi ambayo haijui hata unemployment rate ikoje, nchi ambayo mkuu wake wa nchi hajui kwa nini nchi take ni maskini!

HIVI WATU WENGINE HUWA MNARIDHIKA NA NINI? AU KIBURI CHA MAWAZO FINYU!!
 
Sidhani kuna wanaharakati nitaowafahamu lakini sitawataja wanatumia busara katika utendaji wao!
 
nimekuwa nikijiuliza sana juu ya hii dhana ya uanaharakati bila kupata majibu kwamba kuwa mwanaharakati ni lazima upinge kila jambo. nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana mijadala ya kitaifa wanaharakati hupinga kila jambo. nawasilisha
Inawezekana hao unaowaita 'wanaharakati" ni watanzania ambao wamekata tamaa ya maisha kiasi kwamba kila kitu kinaonekana Kimeparaganyika. Kila mahali watanzania wanaona kukata tamaa bila ya kuwa na matumaini ya kupata afueni huko tuendako.
 
Wanaharakati wengi ni magwanda sasa unategemea nini hapo. Wanaendeshwa na Mbowe usiku na mchana ili waipindue serikali ya Kikwete.
 
Kuna kipindi ktk TV flani mwanaharakat alikuwa kila jambo yy anapinga.Akaulizwa hata shule za kata na UDOM na daraja la malagarasi,ujenzi wa barabara,ujenz wa uwanja wa taifa,kununuliwa vivuko mbalimbali n.k huoni kuwa ni maendeleo hayo?.Akasema yy kazi yake ni kupinga na taasis yake imemtuma afanye hivyo.MTAPINGA HATA MAJINA YENU MWAKA HUU.
 
kuuzwa mbuga za wanyama, ndege ya jeshi kutua na kubeba wanyama huku tukiambiwa serikali haikuwa na taarifa, nchi kuwa giza na kusababisha watanzania wengi kupoteza ajira huku kukiwa hakuna kiongozi yoyote aliewajibika, ufisadi wa richmond,meremeta,Majengo pacha..elimu duni, huma ya afya duni,ukiukwaji wa sheria mfano nyamogo mauji yaliyotokea na yayoendelea kutokea huko....na mengine mengi bila kusahau uhonwa suti kwa kikwete..unataka tuwsifie kwa lipi..kugawa neti!?
 
hivi wewe bado tu unaendelea na hadithi za suti? Mi naona bora nikushonee moja ndio utapoa, inaonekana unahamu nayo sana. Nitakujulisha gesti house gani uje uchukue hiyo suti.
 
Kuna kipindi ktk TV flani mwanaharakat alikuwa kila jambo yy anapinga.Akaulizwa hata shule za kata na UDOM na daraja la malagarasi,ujenzi wa barabara,ujenz wa uwanja wa taifa,kununuliwa vivuko mbalimbali n.k huoni kuwa ni maendeleo hayo?.Akasema yy kazi yake ni kupinga na taasis yake imemtuma afanye hivyo.MTAPINGA HATA MAJINA YENU MWAKA HUU.
siyo kupinga kila kitu ni kuongelea yenye pugufu
 
hivi wewe bado tu unaendelea na hadithi za suti? Mi naona bora nikushonee moja ndio utapoa, inaonekana unahamu nayo sana. Nitakujulisha gesti house gani uje uchukue hiyo suti.
kwa hiyo kikwete alipewa baada ya kuplekwa gesti hii nayo kashifa nyingine..
 
Wewe acha maneno mengi, chagua Rangi halafu niPM, usiogope kijana kama tatizo lako ni kuhudumiwa basi hapa ndio umefika. Suti utapata, kuku chips utapata na bia za kumwaga.
 
ngoja niongeze kwnye list kuwa khongwa suti, kupelekwa gesti na kunuliwa bia kwa raisi..nitajie mengine mama watoto
 
nimekuwa nikijiuliza sana juu ya hii dhana ya uanaharakati bila kupata majibu kwamba kuwa mwanaharakati ni lazima upinge kila jambo. nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana mijadala ya kitaifa wanaharakati hupinga kila jambo. nawasilisha

Wewe unapaswa kuitwa mdekio...yaani ni kama fagio,naomba ulete hapa JF issues with data,Is not the matter of bringing threads,we need type of threads which will yield constructive contributions.Tupe hapa ni vitu gani watu wanapinga tu....sio unaleta umbea hapa....
 
Wanaharakati wengi ni magwanda sasa unategemea nini hapo. Wanaendeshwa na Mbowe usiku na mchana ili waipindue serikali ya Kikwete.

Unadhani ni kama wewe unaeleta hoja za akina Nape,Ridhiwani na January hapa...? Chadema ina great thinkers na hata michango yao mingi inaonyesha,kuanzia hapa JF,bungeni na hata kwenye jamii kwa ujumla....Jana ulikuwa pale Lumumba na January+Nape ndio wamekupa hizi hoja za kitoto...?
 
mkuu hii thread inadhihilisha ulivyo gamba gumu anayefuata siasa za mkapa.mkapa ndo kila akipanda jukwaani anasema upinzani si kupinga kila kitu.na wewe ndicho ulicholenga.mwanaharakati gani uliona anapinga kila kitu?fanya mazuri uone kama husifiwi.wale walio afikiana makubaliano kati ya ccm na cuf walipewa nembo ya picha ya martin ruther king,anna kilango alipewa nembo ya picha ya martin ruther king.je martin ruther king si mwana harakati?.acha maneno yako wewe.mia
 
Hili neno wanaharakati ni neno mfano wa basi

ambalo wanasiasa wanalipanda kutafuta madaraka...basi....hakuna zaidi..

Wanaharakati wengi hupata hasara....trust me....

Ukijiunga kwa wanaharakati most of time utatumiwa tu kuwasaidia watu wapate madaraka....

Cheo kikubwa kuliko vyote ni citizenship...

Kuwa raia mwema,inatosha saana
 
kwa hiyo kikwete alipewa baada ya kuplekwa gesti hii nayo kashifa nyingine..
<br />
<br />
ni kweli yule mwarabu alikuwa anamuingiza kikwete kwenye chumba chake binafsi pale hotelini, hii salva hakukanusha, wapi ze utamu!
 
Back
Top Bottom