Suala la kukata mishahara ya baadhi ya watumishi wa serikali linatoa maana gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Suala la kukata mishahara ya baadhi ya watumishi wa serikali linatoa maana gani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Smallnick, Feb 2, 2011.

 1. S

  Smallnick Member

  #1
  Feb 2, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimesikitishwa sana,nimekerwa sana,nimeshangazwa sana na serikali kwa suala lake la kukata mishahara ya baadhi ya watumishi wa umma eti kisingizio ni kua walikosea ktk mahesabu yao ya house benefits.... Huo ni urongo tena urongo ulovunja ungo. Sidhan km kuna ukweli wowote hapo zaidi ya kufanya kile kinachosemekana kwamba ni kuandaa malipo ya DOWANS... WanaJF Mmeliona hili?
   
Loading...