Suala la kufunga shule/vyuo alafu ukaacha kuzuia mikusanyiko kwenye Bar, sokoni, ukaacha mipaka wazi, ukaacha shughuli nyingine kuendelea lina tija?

Akilitime

JF-Expert Member
Dec 27, 2017
581
757
Ni kama vile shule/vyuo ndo alikuwa agent mkuu wa kusambaza Corona,

Kama serikali inajali kweli na inataka tatizo liondoke mapema kwanini shughuli na safari za watu kutoka nje zisizuiliwe kwa mda kama ilivyofanywa kwenye sector ya elimu?

Eti tunalinda mapato?

Amua moja shughuli zote zisimame, au shughuli zote ziendelee! Sio kusimamisha sector moja wakati sote tunaelewa agent mkuu was kusambaza Corona.

#Hata wafalme wanashauriwa.
 
Dunia nzima imeovereact na hii corona sababu inaua sana mizungu. Hakukua na haja yakusimamisha shughuli kabisa hasa Africa.

TZ mwanzo iliingia mkenge wa kufunga shule ili ionekana inaenda sambasamba na wengine duniani ila haraka JPM akashtuka kwamba ni uzwauzwa, akasema shughuli zingine zote ziendelee. Kenya wanadai wamefunga mipaka, wapi kuna vifo vingi na watu wengi kuuwawa kwa shurti ya polisi kati ya KE na TZ?
 
Umesahau mkuu makanisa yanayojaza sana kwa Mwamposa,Kakobe Mama rwakatare na Gwajima huko msongamano bora hata shule na vyuoni kuliko huko.
Akili ya kugawanya waumini wao hiyo hawana wakiogopa mapato kupungua. Tamaa haijawahi kumuacha mtu salama ngoja tuone huko mbele
 
Ni kama vile shule/vyuo ndo alikuwa agent mkuu wa kusambaza Corona,

Kama serikali inajali kweli na inataka tatizo liondoke mapema kwanini shughuli na safari za watu kutoka nje zisizuiliwe kwa mda kama ilivyofanywa kwenye sector ya elimu?
Eti tunalinda mapato?
Amua moja shughuli zote zisimame, au shughuli zote ziendelee! Sio kusimamisha sector moja wakati sote tunaelewa agent mkuu was kusambaza Corona.

#Hata wafalme wanashauriwa.

Mkuu total lockdown inaenda sambamba na misaada ya kibinadamu...
Hii serikali haina nia wala fedha kwa ajili ya kuwezesha misaada ya kibinadamu...
Maendeleo kwao ni vitu wala si watu...
Chapeni kazi... Kufa mtakufa lakini si wote!
 
Wewe hujui mapato ni bora kuliko uhai wako???🤣🤣, mapato yakikosekana utajenga SGR na Stiegler kwa ulimi/maneno??--- "Punda afe lakini mzigo wa bwana ufike."

V, Lenin alisema; Bepari ni mtu wa ajabu anaweza kukuuzia kamba anayojua kwamba baadaye itatumika kumyongea.🤣🤣
 
Mkuu total lockdown inaenda sambamba na misaada ya kibinadamu...
Hii serikali haina nia wala fedha kwa ajili ya kuwezesha misaada ya kibinadamu...
Maendeleo kwao ni vitu ala si watu...
Chapeni kazi... Kufa mtakufa lakini si wote!

Ni aibu kwa nchi
 
Ni kama vile shule/vyuo ndo alikuwa agent mkuu wa kusambaza Corona,

Kama serikali inajali kweli na inataka tatizo liondoke mapema kwanini shughuli na safari za watu kutoka nje zisizuiliwe kwa mda kama ilivyofanywa kwenye sector ya elimu?
Eti tunalinda mapato?
Amua moja shughuli zote zisimame, au shughuli zote ziendelee! Sio kusimamisha sector moja wakati sote tunaelewa agent mkuu was kusambaza Corona.

#Hata wafalme wanashauriwa.
Akilitime, wewe utakuwa kilitime- kwenye mfumo wetu wa elimu kuna zaidi watanzania 16 M hawa ni zaidi ya wanoenda baa kwa hiyo ni sahihi kufunga taasisi za elimu kuliko kufunga baa. Kumbuka pia watu wanenda baa kwa hiari yao lakini shule wengine wanalazimishwa.
 
Back
Top Bottom