suala la ku appeal heslb

stan b

Member
Sep 8, 2011
85
10
wana JF naomba kuuliza, hiv kama m2 hajapata mkopo kabisa kwa sababu ya PRIVIOUS LOANEES anaweza ku appeal? kama anaweza, Je ?utaratib wa ku appeal ukoje? maana nlckia wanao appeal ni wale waliopunjwa.
 
Mkuu Kama upo dar,ni vyema ukafika ofisin kwao pale,utapata msaada tosha sababu hlo tatizo lako ni gumu na linahitaji vithibitisho kuwa wewe hukuwah pata mkopo hapo kabla.
 
Mkuu Kama upo dar,ni vyema ukafika ofisin kwao pale,utapata msaada tosha sababu hlo tatizo lako ni gumu na linahitaji vithibitisho kuwa wewe hukuwah pata mkopo hapo kabla.
<br />
<br />
hata hvyo haitasaidia cz bodi weshasema wameishiwa pesa.
 
jamani mbona mnapenda kusumbua watu hvo???huo muda wa kuja hapa jf si bora uingie kwenye website yao utaona maelekezo yote au untaka tu kujaza post?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom