Suala la Kichuya kufungiwa ni ushahidi kuwa TFF inaibeba Simba

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
7,328
2,000
Siku za hivi karibuni Simba fc aka Mnyero fc anatembelea nyota ya Young African Sc kwenye usajili wake. Refer: Adam Salamba, Charles Ilamfya, Gadiel, Konde boy, Bwalya, Morrison, hata kwa Kagere ilikuwa the same etc. Wakisikia Young African Sc Wana mazungumzo kuhusu usajili wa mchezaji Fulani, wao mbio wanamsajili fasta. Ila kwa Bwalya, Ilamfya, Salamba na Morrrison wameukwaa. Hata Kichuya wakati anatejea kutoka Misiri Young wakiwa ktk harakati za kumsainisha, Mikia faster wakaingilia dili lake, Sasa Ina kilichwapata, wamepigwa faini na inawezekana wskapigwa ban ya kusajili. Mikia fc acheni kukurupukia na kuingalia sajili kisa mna fedha ya Mhindi, mwishowe naye atawachoka na kuwatosa kabisa. Sajilini kwa nafasi zenye mapungufu na kwa kufanya scouting wenyewe na siyo kutembelea scouting za wenzenu.
Simba ni hodari wa kupanic, mashabiki hata vionhozi wao mpaka wachezaji wao inawafanya wapanic pia wawapo uwanjani. Muda wote na mara zote mashabiki, viongozi na wachezaji wanaifikiria Yanga hata kwenye mechi na timu nyingine. Hili ni tazizo la underdog akipata matokeo chanya, anaweweseka, haamini.

Historia inaonyesha Simba ilianza kama underdog kwa yanga tangu inaanzishwa, hali hii inaendelea mpaka leo hata keshokutwa. Ukweli huo unathibitishwa na Yanga kuwa bingwa wa kihistoria nchini. Yaani Simba inaona ni muujiza kuifunga Yanga.
 

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
7,328
2,000
Nasikia Mo kaanza kutembeza bakuli maana Mikia/Bodaboda hawana hela mikua wamelowa bado kwa Morrison lazima mjifunze kanuni yupo pale makofia anaiharibu sana simba nadhani akiweka b20 tutakata huko
Bora mo asiiweke hiyo 20b ili kuepusha mgogoro mkubwa wa mafisi ndani ya Simba.

Siku akiiweka tu basi watamfukuza mo. Hakuna asiyejua kuwa mo anapata faida kubwa simba kupitia brand ya simba akishirikiana na friends of simba akina Hanspop, try again, magori, nk
 

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
7,328
2,000
Mikia janja janjaaa. Changieni mia tano mia tano hizo
Wanachofanya mo na wenzake wa friends of Simba ni kuwalewesha mashibiki wa simba kwa kuifunga Yanga na kushinda ligi kwa gharama zozote kwa njia yoyote ili kuwanyamazisha wasipige kelele wakati wakiipuna simba.
 

miss pablo

JF-Expert Member
Jul 9, 2018
3,452
2,000
Wanachofanya mo na wenzake wa friends of Simba ni kuwalewesha mashibiki wa simba kwa kuifunga Yanga na kushinda ligi kwa gharama zozote kwa njia yoyote ili kuwanyamazisha wasipige kelele wakati wakiipuna simba.
kazi ipo
 

rodrick alexander

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
10,253
2,000
Msimbazi sasa hivi tupo kimataifa hayo mambo ya mipasho na kuvaa madela tumewaachia upotolo tunawazia gemu yetu na platinum.
Wachezaji wetu wote wana passport nyie mkiondoa wageni na walioko timu ya taifa hata passport hawana maana safari zao ni za hapahapa
 

Chukwu emeka

JF-Expert Member
Jan 12, 2018
15,846
2,000
Mikia watanaswa tu maana tifua tifua na msomali hawako salama,baada ya Rais wa Caf kupigwa ban
 

rodrick alexander

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
10,253
2,000
Wachambuzi uchwara na mashabiki vichwa panzi wameumbuka baada ya ceo wa Simba kutoa ufafanuzi wa swala la Kichuya.
Amesema fifa waligundua walikuwa wanawasiliana na mtu ambaye hakuwa kiongozi wa Simba wala Kichuya kwa maana nyingine Fifa walikuwa wanawasiliana na Senzo wakati tayari alishaondoka Simba.
Fifa itaanza upya kusikiliza mashitaka dhidi ya Kichuya na Simba kwa maana hiyo Kichuya yuko hiru na Simba iko huru kusajili na haitalipa faini yoyote mpaka maamuzi mengine yatakapotolewa.
Nilikuwa nashangaa kuna waandishi na vishabiki maandazi walikimbilia kuisakama simba huku chanzo chao cha habari ni afisa habari wa Namungo.
Kwa mara nyingine simba imeonyesha utofauti na timu nyingine Tanzania kwani haikurupuki na waliokuwa wanasubiria swala la Morison waendelee kusubiri hadi mkataba wake uishe.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom