Suala la Kibu Dennis na Fifa ranking, tutakoswa adhabu kweli?

Ana kitambilisho cha kupigia kura.

Ana Kitambulisho cha Taifa.

Ana Passport ya Tanzania.

Hao ni Nyuma Mwiko
Nani alikwambia kuwa na vitambulisho hivyo tu, tayari ni udhibitisho wa URAI?!!tatizo la nchi hii kuwatambua raia wake ni shida kubwa kutokana na mvulugano toka tunapata uhuru.
 
Mi nashauri uongozi wa Simba uamke na ushughulikie 'uhaini' huo unaopangwa na manyani.

Zile rafu za leo zilikuwa na maelekezo maalumu.Mashabiki na uongozi wa Simba tuchukue hatua mapema kwa mustakabali wa wachezaji wetu.
hapo ni milioni 15 mafioso wataanza kumwaga milioni 100 ili ligi ikiisha team nzima ya simba wawe vilema, hawana namna nyingine tena zaidi ya umafia
 
Nani alikwambia kuwa na vitambulisho hivyo tu, tayari ni udhibitisho wa URAI?!!tatizo la nchi hii kuwatambua raia wake ni shida kubwa kutokana na mvulugano toka tunapata uhuru.
Kwahiyo akisajiriwa Simba ndio hana Uthibitisho wa Uraia ?
 
Hivi unadhani natania kama mchezaji ambaye tayari keshacheza top level for 3 years na team ya taifa leo anaambiwa siyo raia kisa simba unadhani hawa jamaa wanatania? FOR HOOKS OR CROOKS watafanya lolote lile wameumia sana miaka 4 they are confused.
Kwani Simba ndio timu ya kwanza kuchukua ubingwa mara NNE mfululizo?
 
Kwahiyo akisajiriwa Simba ndio hana Uthibitisho wa Uraia ?
Inshu sio kusajiriwa simba au wapi!!tatizo ni mfumo wetu wa utambuzi wa uraia, ni wangapi mtu anaanza kazi hadi anafikia level ya kuwa kiongozi mwandamizi ndio unasikia kuwa uraia wake una shida?kwenye siasa huko ndio kabisaa, na kunapotokea taarifa zozote zenye kutia wasiwasi, lazima utatakiwa kudhibitisha tu, bila kujarisha ni lini na wewe ni nani kwa kipindi hicho, unafikiria kufahamika kwake kwa sasa ni sawa na kipindi hicho yupo geita gold?ni wangapi sio raia wapo tu na wanaishi bila tatizo kwakuwa sio maarufu, ila akijichanganya tu, tayari .
 
hapo ni milioni 15 mafioso wataanza kumwaga milioni 100 ili ligi ikiisha team nzima ya simba wawe vilema, hawana namna nyingine tena zaidi ya umafia
Mo kishafanya sana huo umafia na watu walikua wanamuangalia tu wakati ule maana kina bashite waliishika nchi,watu wa mpira Yanga walikua wakijaribu kusogea wanatishiwa kitawakuta kilichomkuta manji,hao kina kleb,seif magari,mosha n.k walikua wanyonge wakiona Yanga ikidhulumiwa,now muda umebadilika mikia kila kona mnalia lia,tulieni hivyo hivyo kama sisi tulivyotulia kwa miaka 5
 
Hizo hela kawapeni vibaka ma jobless mtaani wafanye kazi iliyoshindikana jana, kuna faida gani kuahidi wahuni wavunje watu miguu si mkodi majambazi tu yamalize kazi huku mtaani kwani hamjui wachezaji wa simba wanapopatikana?
 
Acheni kutilia huruma,chezeni mpira,msimu timu zimejipanga kweli kweli hamna mchezo rahisi
 
Baada ya kusajiliwa simba imeibuka fitna kwamba Kibu ni mburundi ,ndiyo maana hachezi hadi sasa na kocha wa stars analalmika anasema anamuhitaji sana, simba imepaniwa kila kona soon utasikia wachezaji wetu wanapigwa visu mitaani
Serikali mafala wote. Yaani kocha anasema anamtaka mchezaji fulani alafu hamna nchi ambayo inamgombania na bado serikali imekalia tu matako haitoi msaada...tena hapa bashungwa lazima atakua ndio anakaza buti asipewe huoburaia kama kweli hana uraia
 
Acheni kutilia huruma,chezeni mpira,msimu timu zimejipanga kweli kweli hamna mchezo rahisi
Msirudie tena kupoteza mamilioni ya kuwapa wahuni kama wale wa dodoma jiji na maagzio ya kuvunja miguu na pua za wachezaji wa simba, wahuni kibao hawana kazi mtaani pelekeni hayo mamilioni wawadhuru wachezaji wa simba mitaani
Screen Shot 2021-10-02 at 09.04.17.png
Screen Shot 2021-10-01 at 20.16.49.png
 
Kwani waburundi hawaruhusiwi kucheza bongo kutakuwa Kuna shida nyingine tu sio Hilo mbona Saido anapiga mbungi tu Kama kawa pale Yanga
 
Kibu kawa mrundi baada ya kuwa mnyama ila kule mbeya city alikuwa mtz inachekesha sana!
 
Baada ya kusajiliwa simba imeibuka fitna kwamba Kibu ni mburundi ,ndiyo maana hachezi hadi sasa na kocha wa stars analalmika anasema anamuhitaji sana, simba imepaniwa kila kona soon utasikia wachezaji wetu wanapigwa visu mitaani
Sio fitna, jitahidi utafute taarifa vizuri.Source ya kila kitu ni passport. Alipoanza kutafutiwa passport na Simba ndio ikagundulika uraia wake...shida watu wengi mnaingia kwenye mtego wa story za vijiweni.
 
Back
Top Bottom