Suala la Gesi mtwara liliishia wapi?

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,627
Katika maswali magumu nayoomba majibu ni haya

Suala la Gesi liliishia wapi?

Ilipelekwa wapi

Inaendaga wapi

Nani anaitumia
 
Katika maswali magumu nayoomba majibu ni haya

Suala la Gesi liliishia wapi?

Ilipelekwa wapi

Inaendaga wapi

Nani anaitumia
Pale ambapo mzawa anasikiliza wimbo wa;

"Tanzania Tanzania, nchi yenye mali nyingi", Watu wengi wa Ulaya wanaililia sana" ilihali haoni hizo mali zikimpatia msaada wowote kujikwamua kimaisha

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom