Suala la Bangi Mtu mwenye Uelewa wa Bible anitafsirie (Mwanzo 1:29)

Wewe changia tu mbona kuna baadhi ya makabila bangi ni kitu cha kawaida sana. Huku kwetu wakinga wanapika kama mboga na mbegu zake hutumika kama kiungo na bangi yenyewe inavutwa sana hasa na watu wazima na wazee. Lakini wakinga wanajua sana biashara na ninadhani baada ya wachaga, wanaofuatia ni wakinga kwa kusakanya hela.

Watu wa Mara nao hawako nyuma kwenye hili la kuitumia bangi kwa matumizi mbalimbali. Lakini ni wao waliomtoa mtu kama Julius Kambarage Nyerere.Tatizo la bangi liko kwa wenye tatizo na bangi!![/COLOR]

Nimeuelewa sana huo mstari ,hata huko Jamaika vichaa wangekuwa wengi sana..Wanatu bughudhi tu.
 
Mstari huu vijana wengi wa chama cha wamekua wakitumia kama kuitetea Bangi.

Mwanzo1:29 Kisha Mungu akasema, “Tazama, nawapeni kila mmea duniani uzaao mbegu, na kila mti uzaao matunda yenye mbegu; mbegu zao au matunda yao yatakuwa chakula chenu. 30Nao wanyama wote duniani, ndege wote wa angani, viumbe vyote vitambaavyo, naam, kila kiumbe chenye uhai, chakula chao kitakuwa majani yote ya mimea.” Ikawa hivyo.

View attachment 472042
Aisee! Ni wapi huko bangi inalimwa kwa drip irrigation!
 
Kwan bengi za mbangi zinaliwa pia?,kama sio basi sio chakula,na vitavu vitakatifu havijawahi kukosea hata pombe tu annaekunywa ajue biblia haijaridhia...
Una uhakika Bible imezuia pombe persee? Hata kwa wagonjwa, masikini na wenye kuelemewa na mizigo mfano akaribiaye kufa pia?
 
Nimeuelewa sana huo mstari ,hata huko Jamaika vichaa wangekuwa wengi sana..Wanatu bughudhi tu.
Kuna doctor mmoja maarufu sana kasoma Russia ni surgeon ana puliza hii kitu hatari ukiingia kwenye gari yake moshi unavuka muda wote na hafanyi surgery mpaka avute
 
Mstari huu vijana wengi wa chama cha wamekua wakitumia kama kuitetea Bangi.

Mwanzo1:29 Kisha Mungu akasema, “Tazama, nawapeni kila mmea duniani uzaao mbegu, na kila mti uzaao matunda yenye mbegu; mbegu zao au matunda yao yatakuwa chakula chenu. 30Nao wanyama wote duniani, ndege wote wa angani, viumbe vyote vitambaavyo, naam, kila kiumbe chenye uhai, chakula chao kitakuwa majani yote ya mimea.” Ikawa hivyo.

View attachment 472042
Kwa vile ni chakula itabidi niwe naipika kwa nazikama mchicha
 
BAADA YA DHAMBI angala kilichotokea mwanzo 3: 18....michongoma na miiba mara ya kwanza haikuwepo
soma tena mwanzo 4:11

matokeo yalaana.
 
Umeambiwa chakula , na kila mmea na matunda yapo maalumu kwa kazi zake, kama kwa kutafsiri hivo mstari basi kale matunda ya nyoka
Naomba unielekeze yalipo matunda ya nyoka walau hata nikayaone kwani ni ajabu nyoka kutoa matunda
 
Mstari huu vijana wengi wa chama cha wamekua wakitumia kama kuitetea Bangi.

Mwanzo1:29 Kisha Mungu akasema, “Tazama, nawapeni kila mmea duniani uzaao mbegu, na kila mti uzaao matunda yenye mbegu; mbegu zao au matunda yao yatakuwa chakula chenu. 30Nao wanyama wote duniani, ndege wote wa angani, viumbe vyote vitambaavyo, naam, kila kiumbe chenye uhai, chakula chao kitakuwa majani yote ya mimea.” Ikawa hivyo.

View attachment 472042
Kwa uelewa wako kila mche ni chakula kwako?

Mmmmm makubwa
 
Aisee! Ni wapi huko bangi inalimwa kwa drip irrigation!
Feld_Verpackung_Mehrweg.jpg
article-0-1D28F8E000000578-927_634x422.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom