Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 80,836
- 93,617
Binafsi huu muungano huwa siutaki kabisa maana wazanzibar wana haki zote huku bara lakini sisi hatuna haki kwao ni kama watalii wenginehakuna alierusiwa kumiliki ardhi kwa mwenzake kwenye muungano isipokua kwenye mambo ya uwekezaji tu.
Shida inapokuja ni wazanzibari kupewa umiliki wa ardhi nje ya matumizi ya uwekezaji.