SUA tarehe ya kuripoti kwa wale wa ngazi ya cheti

AGAPE BOY

Senior Member
May 24, 2015
194
159
Wadau naomba kujuzwa tarehe ya kuripoti hapo chuo kwa wale wa ngazi ya cheti maana nina mdogo wangu kachaguliwa pale ila hadi sasa hajapata hata join instruction form masaada jamani
 
Mdogo wako yupi yaan humu JF kila mtu ana Mdogo wake hataki kujlikana kama anaenda kusoma certificate
 
Back
Top Bottom