SUA ni kweli mnadai malipo kwa mwaka wa kwanza wenye sponsorship 100% | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SUA ni kweli mnadai malipo kwa mwaka wa kwanza wenye sponsorship 100%

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by MashaJF, Oct 7, 2012.

 1. MashaJF

  MashaJF JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 248
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Nashindwa kuelewa, nina dogo amepata mkopo wa elimu 100% lakini anani ambia wenzake walio tangulia chuoni wanamwambioa anahitajika kwenda na 276,000/= kwa ajili ya malipo ya direct cost!!!!!

  Kama hizi taarifa ni sahihi nashindwa kuelewa ni kwa nini haya malipo uongozi wa SUA hauja yaweka bayana kwenye joining instructions yao!!!Na inasemekana kwamba ni lazima ulipe haya malipo ndipo uweze kufanyiwa registration na kupokea pesa ya mkopo.

  Sasa kama kwenye joining instruction hamja andika kuhusu hili jambo mzazi ataelewaje kwamba anatakiwa ampatie mwanae hiyo hela?

  Na kama mwanafunzi atafika chuoni hana hiyo hela na ana mkopo 100% kwa nini msifanye utaratibu wa kuwa-register na then hiyo hela mkakata kwenye huo mkopo?

  Wahusika au mwenye taarifa ya uhakika kuhusu hili naomba msaada wa kulifahamu vizuri jamb0o hili.


  Attachment: joining instructions
   

  Attached Files:

 2. Victor Kisanga

  Victor Kisanga Member

  #2
  Oct 7, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa nijuavyo direct costs ni tofaut na ada, na mkopo 100% maana yake analipiwa ada yote haihusiani na direct cost.

  Direct cost ni michango mbalimbali ya chuo ambayo haihusiani na mkopo
   
 3. S

  Suma mziwanda kageye JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We umejuaje km ana 100%.kuna pesa ya direct cost,hostel hzo pesa haziusian na ada.
   
 4. l

  lugano5 JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 4,342
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 5
  hamna kilichoaribika hapo .....inabid afuate kama wanavyosma ww huwz register bila kulipa direct cost hta kama una 100%
   
 5. B

  Best Mzava Senior Member

  #5
  Oct 10, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama unaona hiyo hela ni nyingi bac kaanae nyumbani mpaka join instration itakaporekebishwa na kuonesha hiyo pesa
   
Loading...