Su & stj kutumika kwenye ujambazi;kunatuletea picha gani serikali yetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Su & stj kutumika kwenye ujambazi;kunatuletea picha gani serikali yetu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jul 31, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jul 31, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,167
  Likes Received: 5,593
  Trophy Points: 280
  Ndugu wapendwa nimeumia sana na kusiktka sana sana kwa tendo lililotokea siku ya leo pale NMB...HAKIKA NAJUA MUNGU ALIE HAI ATAKWENDA KUWAADHIBU IPASAVYO WOTE WALIOSHIRIKI PAMOJA NA WALIOSHIRIKISHWA AMA WAKUU WA POLISI.AMA WANAJESHI...KUNA HILI SWALA LA KUONEKANA KWA MAGARI YANA NAMBA ZA STJ NA SU ....
  YANATULETEA PICHA GANI KWA SERIKALI YETU KWAMBA HELA ZA UCHAGUZI AZIWEZIPATIKANA BOT ...AMA WANANCHI LAZIMA WACHANGIE ...HAYA MAMBO YANAITAJI MAANDAMANO SERIKALI KUJUA TUMECHOKA.....MI NAWAELZA HAYA MAMBO HAYATAISHA JAMANI ...WAHUSIKA WANAJULIKANA PURE...
   
 2. M

  Magezi JF-Expert Member

  #2
  Aug 1, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  zile number ni za kughushi, kwani prado imepatikana na kukutwa na namba zake halisi. Taarifa za kipolisi zinasema prado hiyo iliporwa three days before the incident.

  Usifikiri hawa hawajui, walitumia namba zile ili kuwazuga police wasi shitukie
   
Loading...