Style za Tendo zinauhusiano wowote na utungaji wa mimba.??

Dam55

JF-Expert Member
Oct 8, 2015
5,592
11,830
Swali kama lilivoulizwa hapo,
Naombeni kujuzwa.
Hivi hizi style za ngono zinauhusiano wowote na kutungwa kwa mimba.au ni upotoshaji tu?

Kama upo je ni style zipi zinafaa katika kutafuta mimba haraka zaidi.
Wajuzi hebu tusaidieni hapa mana sasa maneno ya mitaani huku yamezidi sasa.
Hebu wekeni utaalamu wenu hapa tuelewe.

Natanguliza shukurani kwenu.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom