Evarm
JF-Expert Member
- Aug 30, 2010
- 1,934
- 1,400
Zaidi ya kuwa matiti ni kiungo katika mwili wa mwanamke, pia matiti ni alama au kitambulisho cha mwanamke kuonesha yeye ni mama, huonesha mapenzi/upendo, ulinzi, nguvu, upendo, kukomaa kwa mwanamke na afya.
Kama wewe ni mwanamke sijui unajisikiaje ukikumbuka siku ya kwanza ulipovaa sidiria (bra) na sijui ilikuwaje?
Na sijui hii imekaaje maana unaweza kukuta mwanaume anaongea na mwanamke lakini mwanaume badala ya kumwangalia mwanamke usoni yeye anamkodolea kwenye kifua chake au matiti yake kitu kinachoonesha kuna kitu kisicho cha kawaida kinamvutia mno.
Kuna mambo mengi sana yanayoongelewa kuhusiana na suala la matiti katika kona zote za dunia, kwenye magazeti, kwenye TV kwenye radio nk. Katika nchi ya Brazil wasichana wanakiri kabisa kwamba wapo tayari kukosa kununuliwa gari lakini wapo tayari kupewa offer ya kubadilisha matiti kuwa katika size na shape wanayotaka kwani kwao matiti ni muhimu sana kuliko gari likija suala la mahusiano na wanaume
Je, ni kweli style ya mwanamke anayotumia wakati wa kulala huathiri size na shape ya matiti yake? Naomba wadau tujadili hii mada. Nawasilisha