Style ya kulala huathiri size na shape?

Evarm

JF-Expert Member
Aug 30, 2010
1,933
1,399
Zaidi ya kuwa matiti ni kiungo katika mwili wa mwanamke, pia matiti ni alama au kitambulisho cha mwanamke kuonesha yeye ni mama, huonesha mapenzi/upendo, ulinzi, nguvu, upendo, kukomaa kwa mwanamke na afya.

Kama wewe ni mwanamke sijui unajisikiaje ukikumbuka siku ya kwanza ulipovaa sidiria (bra) na sijui ilikuwaje?
Na sijui hii imekaaje maana unaweza kukuta mwanaume anaongea na mwanamke lakini mwanaume badala ya kumwangalia mwanamke usoni yeye anamkodolea kwenye kifua chake au matiti yake kitu kinachoonesha kuna kitu kisicho cha kawaida kinamvutia mno.

Kuna mambo mengi sana yanayoongelewa kuhusiana na suala la matiti katika kona zote za dunia, kwenye magazeti, kwenye TV kwenye radio nk. Katika nchi ya Brazil wasichana wanakiri kabisa kwamba wapo tayari kukosa kununuliwa gari lakini wapo tayari kupewa offer ya kubadilisha matiti kuwa katika size na shape wanayotaka kwani kwao matiti ni muhimu sana kuliko gari likija suala la mahusiano na wanaume

Je, ni kweli style ya mwanamke anayotumia wakati wa kulala huathiri size na shape ya matiti yake? Naomba wadau tujadili hii mada. Nawasilisha
 
  • Thanks
Reactions: EMT
ni kweli kabisa hasa kwa wale wenye matiti madogo. Wanapolala chali matiti yao huzidi kuwa madogo.
 
Wapo wanaosema sleeping on your stomach is a big no-no sio tuu kwa wanawake bali pia kwa wanaume. Wanasema kuwa “sleeping on your stomach flattens the natural curve in the lower back and keeps your head turned to one side all night, which distorts the alignment of the spine in your neck."

This position can also exert unnecessary pressure on your nerves which will cause pins and needles when you wake up. And for women, their breasts won't like this position, either! Kwa hiyo mdau kama wewe ni mwanaume usidhani hakuna madhara kama ukilalia tumbo. Na kama una kitambi sijui itakuwaje. LOL.

Lakini wapo watu ambao hawawezi kulala unless they are on their stomach. Wengine hawawezi kupumua if they sleep on their back. Wengine wakilala on their back wanakoroma kinoma. Soma hii useful article ya CNN titled: Which sleep position is healthiest? (Which sleep position is healthiest? - CNN.com ) This applies to both male and female.
 
Ni kweli, unatakiwa ulale kifudi fundi yaani matiti yaguse godoro sio yabaki juu juu. Ukilala usivae bra.
 
dah!kila kitu kibaya siku hizi,vizuri sijui vimejificha wapi?
 
Wapo wanaosema sleeping on your stomach is a big no-no sio tuu kwa wanawake bali pia kwa wanaume. Wanasema kuwa "sleeping on your stomach flattens the natural curve in the lower back and keeps your head turned to one side all night, which distorts the alignment of the spine in your neck."

This position can also exert unnecessary pressure on your nerves which will cause pins and needles when you wake up. And for women, their breasts won't like this position, either! Kwa hiyo mdau kama wewe ni mwanaume usidhani hakuna madhara kama ukilalia tumbo. Na kama una kitambi sijui itakuwaje. LOL.

Lakini wapo watu ambao hawawezi kulala unless they are on their stomach. Wengine hawawezi kupumua if they sleep on their back. Wengine wakilala on their back wanakoroma kinoma. Soma hii useful article ya CNN titled: Which sleep position is healthiest? (Which sleep position is healthiest? - CNN.com ) This applies to both male and female.

Thanx mkuu ila namshukuru Mungu sina kitambi
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Ni kweli, unatakiwa ulale kifudi fundi yaani matiti yaguse godoro sio yabaki juu juu. Ukilala usivae bra.

Nitakutafuta umpe darasa "wife to be" style za kulala ili shape yake isiharibike.
 
NAMALIZIA utafiti.................ntakupa jibu kamili hivi karibuni...................
 
Ukifanya hivyo matiti yatakuwa na shape na size nzuri?

shape na size ya matiti husababishwa na sababu za kibailojia.
Watu tunajishughulisha zaidi na utunzaji kuyafanya yapendeze lakini haimaanishi utayabadilisha size au shape kwa kiasi kikubwa(labda kwa njia za upasuaji, wataalam watasema). Hebu fanya jaribio lifuatalo,
1.Jaribu kuning'iniza mguu au mkono hewani kwa muda mrefu,.... .
2 Jaribu kuushikilia mguu wako kwa mikono miwili huko huko ulipo....
3 Mwisho ulaze mguu wako.
bila shaka utakuwa umeexperience hali 3 tofauti. Na kwa matiti ni hivyo hvyo.
Matiti hayatakiwi kuachwa yaning'nie kwasababu ukifanya hivyo unayafanya yakose uimara (yatakuwa tepe tepe).
 
  • Thanks
Reactions: EMT
All in all mwanamke akisha zaa shep ya matiti inaharibika kabisa yanalala kama slipers
 
Back
Top Bottom