Gogle
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 1,495
- 867
Wakuu heri ya mwaka mpya.
Jana katika harakati za kupokea mwaka mpya nimepatwa na janga la kutenguka kiuno, ingawa sio serious sana Lkn daktari amenishauri nisifanye shughuli nzito kwa angalau wiki moja, na Mimi nilikaa siku tatu bila kugegeda nakuwa hovyo kabisa, sasa wadau naomba mnijuze style ya kugegeda ukiwa umetenguka kiuno bila kujiumiza.
Kwa unyenyekevu mkubwa sana naomba msaada wenu