Style mpya ya Upandaji miti kwa wanasiasa

COARTEM

JF-Expert Member
Nov 26, 2013
3,598
3,644
Mbunge wa jimbo la Tabora kaskazini, Almas Maige, akipanda mti katika zahanati ya Migungumalo, kata ya Usagali, wilayani Uyui leo katika kilele cha maadhimisho ya miaka 42 ya CCM mkoani Tabora. Picha na Robert Kakwesi #MwananchiUpdates]
FB_IMG_1549712798712.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbunge wa jimbo la Tabora kaskazini, Almas Maige, akipanda mti katika zahanati ya Migungumalo, kata ya Usagali, wilayani Uyui leo katika kilele cha maadhimisho ya miaka 42 ya CCM mkoani Tabora. Picha na Robert Kakwesi #MwananchiUpdates]View attachment 1017745

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaacha kupanda na kugawa miti ya matunda kwa wananchi wanapanda misonobali, mikambokambo, minsumbi, mikaratusi, ona sasa anapanda mti utafikiri anapiga pushups, maccm sijui yakoje
 
Dah!Jamaa tapeli kimbwa!Ila huu ndiyo wakati wa MaCCM kuomba kura huku yanagaragara,kupiga tu-pushapu au kupiga magoti.Bangi haiwaachi salama.
 
Mimi nafikiri ni vizuri tu watu kama hawa wakachunguzwa kama kichwani wapo salama. Ni aibu kuonyesha mfano wa kufanya kazi za shamba huku umelala kwenye mkeka safi kama upo unaperuz kwenye simu yako ukiwa kitandani. Na hapo ataondoka kwa sifa kuwa ameshiriki kwa juhudi kubwa kupanda huo mti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom