Style mpya ya Bunge live hii hapa

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,682
149,886
20160501_044409.jpg

Hawa jamaa wasivyo na aibu wanaweza kuja na kanuni mpya za kidikteta kuwa ni marufuku kwa mbunge kujirekodi kwa kutumia simu yake awapo ndani ya Bunge.
 
Hawana pa kutokea kabisa. Nimewaomba baadhi ya wabunge ninaofahamiana nami tena wengine wa ccm wanaojitambua kwamba warekodi hata zile pumba za wabunge wa ccm. Na kama pumba hizo zitakuwa za daraja la juu (first class pumba) basi tutazirusha kwenye mitandao ya jamii ili watu wawajue wa bunge wao wale wa hovyo.
Napata picha kuwa ccm so tuu kuwa ilikuwa inaogopa makombora ya wa bunge wa upinzani pekee bali inaogopa pia pumba za wabunge wake kusikika kwani ni aibu na fedheha kwa chama chao
 
Hao wanaojirekodi watakua ni wabunge wa ccm ambao hadharani wanapinga Bunge kuoneshwa live kwa kuogopa kuonekana wanapingana na uamuzi wa chama, wakiwa mafichoni wanapinga uamuzi huo wa chama.
 
Nipo hapa naangalia jinsi Rais anavyoendelea kusimama muda mrefu huko Dodoma akipokea maandamano, lakini ukiangalia Mei mosi ya Kenya (KBCTV) Rais na wageni wote wamekaa , je wanaprotokali hili hawakuliona mpaka kumtesa kivile?
 
Bado kule vijijini wananchi hawapati haki hii, kwani wengi wao hawamiliki simu janja.........dawa ni kwa serikali kukubali kuruhusu vituo vingine mbali na TBC virushe matangazo ya bunge moja kwa moja
 
Nipo hapa naangalia jinsi Rais anavyoendelea kusimama muda mrefu huko Dodoma akipokea maandamano, lakini ukiangalia Mei mosi ya Kenya (KBCTV) Rais na wageni wote wamekaa , je wanaprotokali hili hawakuliona mpaka kumtesa kivile?
acha ateseke
 
Hateseki, sehemu ya mazoezi.
Alipokua waziri wa ujenzi kazi hizo za kusimamia barabara muda mwingi anakua amesimama, si unajua mambo ya field?
Kwa hiyo kusimama haimpi tabu.
 
Nipo hapa naangalia jinsi Rais anavyoendelea kusimama muda mrefu huko Dodoma akipokea maandamano, lakini ukiangalia Mei mosi ya Kenya (KBCTV) Rais na wageni wote wamekaa , je wanaprotokali hili hawakuliona mpaka kumtesa kivile?
Unadhani huyu Rais ni kama yule jamaa yenu wa kuji#@#$$&ny@!a
 
Nipo hapa naangalia jinsi Rais anavyoendelea kusimama muda mrefu huko Dodoma akipokea maandamano, lakini ukiangalia Mei mosi ya Kenya (KBCTV) Rais na wageni wote wamekaa , je wanaprotokali hili hawakuliona mpaka kumtesa kivile?

Si yupo kazini mwache afanye kazi hapa kazi tuu.
 
Wanahangaika kutafuta kiki, muwe waangalifu msije sambaza mpaka maneno na vitendo vya chumbani, sababu uukawa shida yao ni umaarufu tuu baasi
 
Hawana pa kutokea kabisa. Nimewaomba baadhi ya wabunge ninaofahamiana nami tena wengine wa ccm wanaojitambua kwamba warekodi hata zile pumba za wabunge wa ccm. Na kama pumba hizo zitakuwa za daraja la juu (first class pumba) basi tutazirusha kwenye mitandao ya jamii ili watu wawajue wa bunge wao wale wa hovyo.
Napata picha kuwa ccm so tuu kuwa ilikuwa inaogopa makombora ya wa bunge wa upinzani pekee bali inaogopa pia pumba za wabunge wake kusikika kwani ni aibu na fedheha kwa chama chao

Unao uhakika na andiko lako?! Umefanya utafiti?
 
Hivi wabunge si ndiyo watunga sheria na kanuni? sasa mbona wanapata shida kuonekana laivu?
 
Jamani naomba tuwe serious japo tu kwa swali langu hili.

Hivi ni sababu gani ambazo serikali au bunge imetoa kuzui matangazo LIVE ya bunge kwa TV BINAFSI AMBAZO ZILIKUWA TAYARI KURUSHA MATANGAZO HAYO BURE bila kui charge serikali au bunge?

Kama huko informed na sababu za Serikali/Bunge kuzuia Live broadcast za Bunge kwa TV binafsi tafadhari lipotezee hili swali langu.
 
Back
Top Bottom