style mbalimbali za "X" zinachangia kuboresha au kuvunja ndoa/mapenz?

Yaan mpenzi wangu hapendi picha za x wala video halaf mie napenda kuangalia za ki hardcore na group sex aaaaaaaarrrgggghhhh
 
Nelson Mandela! Dunia nzima simanzi. Katutoka shujaa na Mzalendo wa Africa. Kitu Unachotakiwa kujua ni kwamba, Alifungwa jela miaka 27 lakini Alipofunguliwa Aliwasamehe wote Waliomfunga na akashindwa kumsamehe Mkewe aliyemsaliti. Unaweza kuona Jinsi gani Kugegedewa Kunavyouma..
msipende kupotosha historia kuwa mandela hakumsamehe mke wake, mkibisha sana nitaleta ushahidi hapa, inawezekanaje kuwa na mke usiyefanya nae mapenzi kama alivyokuwa anamfanyia winnie kwa muda wote toka atoke gerezani, na ilimchukua miaka miwili kusema hadharani 1992 kuwa anafikiria kuachana na mke wangu japo alimlindia heshima yake kwa kuyaacha ya ndani kuwa siri, ado winnie aliendelea kumnyima mzee wa watu penzi mpaka mwaka 1996 tena mandela akiwa ni raisi wa nchi na ndipo mzee wa watu yakamshinda, aliyekataa suluhu alikuwa ni winnie na suluhu ilikuwa winnie akubali kutoa unyumba kwa mzee wa watu, sasa hataki, ulitaka mandela aendelee kusema ana mke?hivi jiulize kama inaweza kuwa rahisi kwa mfano leo raisi wa nchi KIKWETE akampeleka salima mahakamani kudai talaka na aeleze waziwazi kuwa ananyimwa penzi usiku kwa miaka yote kama mitano hivi?si rahisi na kesi itavuta waandishi wengi mmo lakini kutokana na manyanyaso ya ndani aliyokuwa anafanyiwa mandela pamoja na kuwa alijaribu kila njia kumrudisha mke wake bado winnie alikuwa jeuri na kiburi kwa kupindukia na alitukana mpaka wasuluhishi?sasa ulitaka mandela afanye nini?na mpaka anaachana nae alisema bado anampenda.
 
Sijui nichangie nini!

Labda mngetuonesha hiyo mitindo ili niweze sadiki na kutoa neno!
 
Back
Top Bottom