Stupid question, stupid answer

Kuna Msukuma mmoja alinipigia afu ananza kunihoji wewe ni nani? Na uko wapi. Nikamjibu Mimi ni Kiongozi wa Malaika niko Mbinguni.. Nikusaidie nini?

Jamaa lilicheka mpaka likaamua kunirushia elfu tano eti ya Vocha.
fala kweli
 
Mtu anakuona kabisa umekata nywele halafu anakuuliza "Vipi umekata nywele?"

Unamjubu "Hapana nimebadili kichwa"
 
*Mambo vipi
=shwari
*ishu zinakwendaje
=poa
*mambo poa kabisa???

=................. Nilitaka kutukana
 
Unajiimbia nyimbo zako huku unafanya kazi zako ndogo ndogo unaskia Jiran naona unaimbaa....!!?

Aah mi nika mjibu nikamwambia hata siimbi na Vibrate hapaa

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom