"studio studio"wakata kiu wote wa mzumbe university mpoo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"studio studio"wakata kiu wote wa mzumbe university mpoo?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by MKATA KIU, Aug 17, 2011.

 1. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #1
  Aug 17, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Heshima kwenu wote na poleni na mihangaiko ya kila siku,

  Jamani kama kuna wajumbe mliopitia mzumbe university main campus najua tumeelewana sana kuhusu hiyo kitu inaitwa KIU

  Binafsi ilikuwa inanikera sana enzi za first year nina mzuka wa chuo huku bado nina kiburi cha ma cutt of point ya form six lakini
  nilivyo report campus tu usiku wake nikakutana na kitu tofauti mara mjumbee mjumbeee... ambacho kilinifanya nicheke sana na
  kupoteza mawazo yangu yote, wajumbe wote tuliopita mzumbeni tujikumbushe ur experience na hii kitu, kama mnakumbuka
  hilo post ya kuwaponda wakata kiu 2007 iliyobandikwa chuo kizima yenye title Hongereni sana wakata kiu" iliyosababishwa nisakwe

  sana na wadau, ni mimi ndo niliiandika na nashukuru hadi namaliza hawakunipata... Missing campus life alot​
   
 2. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #2
  Aug 17, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Wewe ni SNITCH
   
 3. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #3
  Aug 17, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,056
  Likes Received: 299
  Trophy Points: 180
  Ngoja niwapishe hapa. Mi nilikuwepo pale zama za IDM na Bi Kiroboto.
   
 4. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #4
  Aug 17, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  nduka yaelekea haukusoma mzumbe, umevamia post, coz kama ungekuwa umesoma that post, usingejibu hivyo, hiyo ilikuwa mojawapo ya campus experience ya kutaniana sasa nashangaa ulivyovamia wakati hujui hata KIU ni nini...

  Watafute uliosoma nao mjikumbushe experience zenu...
   
 5. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #5
  Aug 17, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Ni kweli sikusoma hapo. hii ni kwa kuwa nilifaulu sana form six, lakini kwenda kuwaanika wakata KIU ni U SNITCH kwa hiyo wewe ni SNITCH
   
 6. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #6
  Aug 17, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Ni kweli sikusoma hapo. hii ni kwa kuwa nilifaulu sana form six, lakini kwenda kuwaanika wakata KIU ni U SNITCH kwa hiyo wewe ni SNITCH...


  Ndo maana nikagundua haukusoma hapo, hiyo post ilikuwa ni part of the KIU sema iliwajibu waliokuwa wanatuponda first year, enzi hizo wanatuita

  form one, eti hatuna haki , so ilikuwa ni ujumbe wa kuonyesha na sisi tunaweza hiyo kitu, haikumtaja mtu jina wala kumtukana na mtu zaidi ya kuwajibu waliokuwa wanaponda form one,

  So naomba ufute kauli yako, Najua ulifaulu sana form six kama unavyosema but ujue hata wakata kiu tulifaulu pia tena with flying colours,

  Kiasi cha kuchaguliwa popote tulipotaka kwenda hapa... and mzumbe was our choice
   
 7. n

  nsekangaye.kagabo Member

  #7
  Jan 23, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ant-log je? Au mmesoma juzi? Enzi zangu pale mzumbe ilikuwa raha tupu. Hakukuwa na mama'ntilie jirani.
   
Loading...