Stroke inaweza kumtokea mtu yeyote na ni hatari

Hata jamaa mdomo hajarudi kama vile
Yeah, ni lazima. Ukipata stroke lazima ubakie na alama ya ushahidi kua ulipata stroke.

Ni ugonjwa wa ajabu kwa kweli.

Kikubwa ni kudhibiti pressure unapunguza kwa kiwango kikubwa sana kupata stroke.
 
Ana bahati sana huyo bwana. Angekuwa kwenye nchi za kina mfalme juha mbona nyungu, mikaratusi, michai chai, na hata kikombe cha babu Loliondo vingemhusu?

Bila shaka hata kwa mheshimiwa Mshana Jr kwa ajili ya kusafisha nyota angeshazuru.

Makwetu wa stroke kama hivyo huwa wametupiwa majini. Wa Corona hupelekwa kutibiwa Loliondo, kwa babu asiyekuwa na barakoa wala kuhitaji PPE. Yakimkuta tunasema Mungu alimpangia kufa hivyo.

Ujinga mzigo. Katika rundo la wajinga sote hatuwezi kufuata mkumbo kama misukule, hata kama "chief architect" ni jiwe mwenyewe mapumzikoni Chatto.

Ndiyo maana hachoki mtu hapa! Chanjo kwanza:

Mapambano yana maana pale tu tunapokuwa na afya zetu.

Aluta Continua!
Ww huwa ni mjinga sana....
uzi wwte lazima utafute namna ya kumuingiza Magufuli......hv alikupiga mimba!
 
Ww huwa ni mjinga sana....
uzi wwte lazima utafute namna ya kumuingiza Magufuli......hv alikupiga mimba!
Ninaweza kuwa mjinga lakini siwezi kukuzidi wewe jombi.

Maana kama ni popoma basi wewe ni lile lilokuwa popoma kweli kweli maana si ujinga tu bali na upumbafu kabisa mumo kwa mumo!

Hivi hata akili unazo japo kidogo kufikia za kuku kweli wewe?

Jinga kabisa!
 
Nilikuwa nikikimbia 25 km miaka 10 iliyopita, siku hizi hata sipigi hata pushap 2...

Kiharusi sio kuacha pombe, usiache mazoez, usiache kula vzr, usithubutu kufanya mazoez bila lishe bora, utaKosa calories
Sijakuelewa mkuu wangu unamaanisha nini naona manyotanyota

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
...Rudia Mazoezi Mkuu. Ulikuwa Vyema. Kilomita 25!
Hapo una maana ya maili 18 ama 19 hivi.
Kila siku? Ama per Week?
Upo vyema mkuu. Ponge,zi. Usiache.
Nilikuwa napiga kila siku aisee yaani mpaka nikawa najishangaa nilikuwa flexible mnooo huwezi amini kuna kipindi nilikuwa nikitoka ofisini kule Bamaga jioni nakimbia mpaka tabata kimanga nanyoosha na barabara tu hiyo non stop mpaka home,Dr alinikataza akasema umri wangu sipaswi kukimbia umbali mrefu hivyo

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Kuna stroke za kawaida na za kiasili wachawi wakiwa darasani huwa kuna somo lao la kumtupia mtu huo ugonjwa,hata uende hospitali gani huponi.so ukiwa na mgpnjwa wa stroke jaribu njia zote,hospital na tiba asili usione haya uchawi upo
Kuna watu watakuja kukupiga mawe kwa hili

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Ninaweza kuwa mjinga lakini siwezi kukuzidi wewe jombi.

Maana kama ni popoma basi wewe ni lile lilokuwa popoma kweli kweli maana si ujinga tu bali na upumbafu kabisa mumo kwa mumo!

Hivi hata akili unazo japo kidogo kufikia za kuku kweli wewe?

Jinga kabisa!
Kichaa jinga la mwisho pita vile
 
Kichaa jinga la mwisho pita vile

Kichaa jinga la mwisho lililopitaliza pita vile ukapumzike kwa amani tunakoyaweka mamburula useless yaliyopitiliza kama wewe.

Wala usikonde utayakuta na mienzako kama wewe huko.

Don't even mind to write back

Nyambafu!
 
Mjinga hujielewi ww....
your reasoning capacity is too low
 
Back
Top Bottom