S strit boy Member Aug 24, 2011 87 4 Aug 24, 2011 #1 Mwenenu wa kitaa nakuja kwenu mnipe maujanja zaidi ya strit
ndetichia JF-Expert Member Mar 18, 2011 27,772 6,555 Aug 25, 2011 #2 kwa mateke na marungu na vurugu wewe waja....haya karibu sana jamvini..
Crashwise JF-Expert Member Oct 23, 2007 22,227 8,735 Aug 25, 2011 #4 strit boy said: Mwenenu wa kitaa nakuja kwenu mnipe maujanja zaidi ya strit Click to expand... Hahahha njooo ulikuwa wapi siku zote? Ooops it must be on strit. Karibu saaana javini.
strit boy said: Mwenenu wa kitaa nakuja kwenu mnipe maujanja zaidi ya strit Click to expand... Hahahha njooo ulikuwa wapi siku zote? Ooops it must be on strit. Karibu saaana javini.
First Born JF-Expert Member Jul 11, 2011 5,310 1,473 Aug 25, 2011 #7 kwani hapa kituo cha kulea vijana wa mitaani?
M Mr Rocky JF-Expert Member Oct 10, 2007 15,178 14,349 Aug 25, 2011 #8 Mhhh hatutaki fujo za wanamtaa hapa hapa ni wastaarabu tuu wanapaswa kuwepo hata hivyo karibu sana
ndetichia JF-Expert Member Mar 18, 2011 27,772 6,555 Aug 25, 2011 #9 kitu muhimu ingia hapa ndugu JamiiForums Disclaimer and Rules
Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,983 12,702 Aug 25, 2011 #10 Karibu jamvini ila habari za strit achana nazo hukohuko!
Mwenzetu JF-Expert Member Dec 16, 2010 550 193 Aug 25, 2011 #12 Karibu sana,kanuni na taratibu zingatia