Strike on Iran risks world economy: (Marekani kuishambulia IRAN kutaharibu Uchumi wa dunia)

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,079
strike-on-iran-risks-world-economy-us-2011-11-18_l.jpg

The most effective way to confront Iran is to use diplomacy, says Panetta. REUTERS photo
U.S. Defense Secretary Leon Panetta said he would raise American concerns about the unintended consequences of any military action against Iran during talks with his Israeli counterpart Nov. 18, including its potential impact on the world economy.
Tension over Iran’s nuclear program has increased since the International Atomic Energy Agency (IAEA) reported last week that Tehran appeared to have worked on designing a bomb and may still be conducting secret research to that end.
Panetta, speaking to reporters traveling with him to Canada, said the United States believed the most effective way to confront Iran still was to use diplomatic pressure and sanctions to try to curb the Islamic state’s nuclear program.
“Obviously to go beyond that raises our concerns about the unintended consequences that could result,” Panetta said. He pointed to a U.S. analysis that a strike on Iran would set back its nuclear program, which Iran says is only for peaceful purposes, by one or two years at most. It would also have implications for U.S. forces in the region. “And I have to tell you, thirdly, there are going to be economic consequences to that, that could impact not just on our economy but the world economy,” Panetta said.
Meanwhile, a senior Iranian envoy accused the head of the U.N. nuclear body of security leaks that expose his country’s scientists and their families to the threat of assassination by the U.S. and Israel. Ali Asghar Soltanieh says the leaks by International Atomic Energy Agency chief Yukiya Amano in a recent report have made Iranian scientists “the targets for assassination by ... (the) Israeli regime and United State(s) of America intelligence services.” The accusations reflect Iran’s fury with Amano over the report to the IAEA board detailing Tehran’s alleged secret research and development of nuclear weapons.
Compiled from Reuters and AP stories by the Daily News staff.

Source: Strike on Iran risks world economy: US - Hurriyet Daily News
 
strike-on-iran-risks-world-economy-us-2011-11-18_l.jpg

the most effective way to confront iran is to use diplomacy, says panetta. Reuters photo
u.s. Defense secretary leon panetta said he would raise american concerns about the unintended consequences of any military action against iran during talks with his israeli counterpart nov. 18, including its potential impact on the world economy.
Tension over iran's nuclear program has increased since the international atomic energy agency (iaea) reported last week that tehran appeared to have worked on designing a bomb and may still be conducting secret research to that end.
Panetta, speaking to reporters traveling with him to canada, said the united states believed the most effective way to confront iran still was to use diplomatic pressure and sanctions to try to curb the islamic state's nuclear program.
"obviously to go beyond that raises our concerns about the unintended consequences that could result," panetta said. He pointed to a u.s. Analysis that a strike on iran would set back its nuclear program, which iran says is only for peaceful purposes, by one or two years at most. It would also have implications for u.s. Forces in the region. "and i have to tell you, thirdly, there are going to be economic consequences to that, that could impact not just on our economy but the world economy," panetta said.
Meanwhile, a senior iranian envoy accused the head of the u.n. Nuclear body of security leaks that expose his country's scientists and their families to the threat of assassination by the u.s. And israel. Ali asghar soltanieh says the leaks by international atomic energy agency chief yukiya amano in a recent report have made iranian scientists "the targets for assassination by ... (the) israeli regime and united state(s) of america intelligence services." the accusations reflect iran's fury with amano over the report to the iaea board detailing tehran's alleged secret research and development of nuclear weapons.
Compiled from reuters and ap stories by the daily news staff.

Source: strike on iran risks world economy: Us - hurriyet daily news

nakuacha iran bila kupigwa ni kuhatarisha uchumi na ustawi wa dunia!
 
Hawa wa Iran hawaaminiki wakiachiwa kumiliki nuclear dunia itakuwa imeingia kwenye hatari kubwa mno, the only way is to disarm them as soon as possible, kuliko kuwaacha watengeneze nuclear halafu tuione dunia ikiwa katika vita ya nuclear, I once or twice visited hiroshima which was hit by atomic bom there is horrrible scene na kunasimuliwa mambo ya kutisha sana, imagine that was only atomic not nuclear!!
 
Nani alidondosha hilo bomu au mabomu ya Atomiki huko Hiroshima? Iran?
Hivi hizi nchi nyengine zilizo na atomic bombs na nuclear warheads sio tishio kwa amani ya dunia?

Kwa nini Iran ikimiliki Nuclear bomb ndio iwe ni hatari kwa amani ya dunia?

Nchi inayoanzisha vita kila kona ya dunia ni Marekani. Hawa ndio wanaohatarisha amani ya dunia. Au hufuatilii operations za CIA na US gvt?

Nchi jirani ya Iran, Israel inamiliki silaha za nyuklia na hakuna anaesema kuwa hii nchi ni hatari kwa amani na usalama wa dunia.....hapa kuna kitu gani?

Jee Iran imeshambulia nchi yoyote?
 
Imeshasema itaifuta Israel kwenye USO Wa Dunia hii ni cheti Tosha kuiharalishia Iran Ipigwe.
 
Imeshasema itaifuta Israel kwenye USO Wa Dunia hii ni cheti Tosha kuiharalishia Iran Ipigwe.
tena hawapaswi kuchelewa maana wataleta maafa hao hawachelewi kijitowa mhanga maana ndio utamaduni wao
 
Imeshasema itaifuta Israel kwenye USO Wa Dunia hii ni cheti Tosha kuiharalishia Iran Ipigwe.
Inaonekana hukuridhika na hii link. Unapokariri uongo hata mara elfu, hautobadilika kuwa ukweli. Hii ni misinfo au propaganda tu ili kutayarisha mazingira ya vita. Mara nyingi sababu za uongo zimetumika kuanzisha vita.

https://www.jamiiforums.com/interna...ady-decided-to-strike-iran-5.html#post2829717

https://www.jamiiforums.com/interna...ady-decided-to-strike-iran-5.html#post2830066

https://www.jamiiforums.com/interna...ady-decided-to-strike-iran-5.html#post2829921
 
Nani alidondosha hilo bomu au mabomu ya Atomiki huko Hiroshima? Iran?
Hivi hizi nchi nyengine zilizo na atomic bombs na nuclear warheads sio tishio kwa amani ya dunia?

Kwa nini Iran ikimiliki Nuclear bomb ndio iwe ni hatari kwa amani ya dunia?

Nchi inayoanzisha vita kila kona ya dunia ni Marekani. Hawa ndio wanaohatarisha amani ya dunia. Au hufuatilii operations za CIA na US gvt?

Nchi jirani ya Iran, Israel inamiliki silaha za nyuklia na hakuna anaesema kuwa hii nchi ni hatari kwa amani na usalama wa dunia.....hapa kuna kitu gani?

Jee Iran imeshambulia nchi yoyote?

asante sana mkuu kwa point zilizotulia
 
Niukweli mtupo uliyoongea tatizo letu wa bongo tunapenda ushabiki
 
Ukiangalia na kusikiliza redio1 au kuangalia ITV. utasikia habari mbaya tu kwa taifa la Iran
Leo asubuhi. habari ilikuwa IRAN na kunyonyonga wauza madawa.
Lkn mauji ya Wapelestina yanayofanywa na Israil huyasikii
Jee ITV/REDIO1 inaubia na ISRAEL?

Naunga mkono. ITV ina ubaguzi. Kwa mfano;
1. Habari za mauaji yanayofanywa na Al Assad kule Syria, sijasikia yakisomwa leo asubuhi
2. Mauaji yanayofanywa na wanamgambo wa kiarabu wa Janjaweed kule Darfur, sijasikia yakisomwa leo asubuhi
3. Mauaji ya askari wa Yemen waliouliwa na Al Qaeda baada ya Kiongozi wao kurestishwa in peace na USA, haijasomwa leo asubuhi

Kwa kweli tunaonewa sana, tena saaaaaana sana sana sana sana. Hata juzi hapa TBC imesema sisi ni wachache, kwa kweli inauma. Twendeni tukaandamane kidongo chekundu tukiongozwa na wazee wetu waliofuga ndevu badala ya ng'ombe.

Ah, halafu nimekumbuka, hata baraza la mawaziri limevunjwa ili kutukomoa sisi. Si unakumbuka Waziri wa Hela ni wa dini yetu? Hajafanya kosa lolote, wamemtoa tu kutukomoa sisi tuliokuwa tunanufaika na sadaka anazotoa siku akija kwenye sinagogi.

Halafu tena, naniliu ile...nanii...mahakama yetu ya ndoa. Nayo ile inaniuma 'kichiz', ile inapingwa kwa kuwa tu tunaonewa gere na ndevu zetu. Sisi ndio vidume bwana. Mtu mmoja wake wa4 na watoto 16 = (4x4). Kwa wasioelewa foo bai foo bai faa maana yake ni 4WD kudadadeki.... hawa wenzetu hawajui kila mtoto anazaliwa na riziki yake. Wao wanakuwa na katoto kamoja kama tembo, pambaf zao! Ndio maana mi nasema tuko wengi zaidi yao.

Iran hoyeeeeeeeeee!!!!

Al Assad hoyeeeeee!!!!

Al Bashir hoyeeeeee!!!

Janja weeeed hoyeeeee!! (wida = bange)

Boko basihaya hoyeeeeee!!!!

Dini yetu ni dini ya AMANI.

Muheshimiwa spika, naomba kutoa hoja!

(Waumini wenzangu msipate shida na matusi nitakayotukanwa, wote watakaotukana si mnawajua, wana ukoo na mjusi k...r). Niwasihi tu nyie msijibishane nao, msije mkajikosesha haki yenu ya kwenda kufaidi WINE na MADEMU 12 brand new kwenye maisha ya milele amina

Mwenye macho haambiwi tazama na mwenye akili hatanyoa ndevu zake.
 
Yaweza gharimu umri wa mtu wote ili kuelewa kama huyu naye anatumia akili, asamehewe na mjadala uendelee.
 
Back
Top Bottom