strictly for guys: Can one night stand be considered as a mere cheating?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

strictly for guys: Can one night stand be considered as a mere cheating??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by SnowBall, Oct 9, 2012.

 1. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Najua hata wakike watakuja manake ukishaongelea haya mambo lazima mtu roho imdunde..Iko hivi...Unajua guys binafsi mimi sio muumini wa ile dhana ya dhambi zote ni sawa na nabaki kuamini kuna dhambi ndogo na kubwa..Na imani yangu inajengwa na maumivu ya kosa pamoja na 'demeanor' ya mtenda kosa..Mfano ninaamini japo wote ni wezi..lakini haiwezekani mtu aliyekuibia kuku awe charged sawa na jambazi aliyekuibia gari....pia naamini adhabu ya mtu aliekutukana haiwezi kuwa sawa na ya yule aliyekuja nyumbani kwako akambaka mkeo na kisha akaondoka na pesa zako..

  Sasa nirejee kwenye mada..ni hivi wewe umeoa/au una gf..mfano umeenda kijijini labda kama kamwezi hiv..na katika kurefresh mara kanaibuka kabinti au mdada na kwa sababu uko lonely unakaimbisha na hatimaye unalamba mzigo na hakuna la zaidi pengine unamtoa na vijisenti kadhaa maisha yanaendelea..Au umekuja jijini na uko bored..katika pitapita zako unakutana na mdada..mnaelewana na unajibebea dume zako kadhaa na unaenda kutungua mzigo.. hata kama tumezoea kuihesabu as cheating..hivi hii inaweza kuwa sawa na yule aliyemkodishia nyumba mwanamke(nyumba ndogo) anamkatia fuba la kutosha na saa zingine hadi nyumba kamjengea..ukute hata kamzalisha na mtoto..na pengine pembeni ana mwanafunzi anamsomesha??..Najua wengi mtasimamia kidini..hebu tufunguke katika uhalisia wa maisha..na tujiulize hivi kweli zile 'one night stand' zinaqualify kuitwa cheating kweli'??..Hapa najua tutabishana hadi asubuhi cuz najua sisi wababa kumega nje ni sawa na wanafunzi na facebook....Tuwaambieje hawa ndugu zetu watuelewe kuwa ulikuwa ukame tu na mazingira kuwa magumu!!!

  How cheating is cheating??..can we draw a clear boundary between one night stand and absolute cheating or rather any act of dating in absence of your partner is just cheating???..hivi hakunaga kucheat kudogo na kukubwa???
   
 2. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Hahahaaaaa! Snoball kuna SEHEMU UNAZENGEA 1 NIGHT STAND NINI! Sasa untaka tuku console kuwa its okay!!! LOL!!! Well its not okay bt its tolerable!!!! TATIZO LENU MKIONJESHWA MNANASA!!!! KILA AFFAIR ILIANZA NA ONE NIGHT STAND!!!! Upo hapo! Wote wenye nyumba ndogo walianza kwa kujiaminisha it will only be a 1 NIGHT STAND!!! Ndo wamechonga mizinga. The biggest problem ni kuwa YOU NEVER KNOW WHAT TO EXPECT!!! UNAWEZA PIGWA MAMBO XXXXXXXXL NEVER SEEN BEFORE!!! Hahahaaaaaa! Ndo hivo inakuwa YOU NEVER KNOW TILL YOU KNOW KAMA NI 1 NIGHT STAND AU NDO USHAJIPATIA SMALL HOUSE!!!! Hahahaaaaaaa! Hata wanawake atiiiiii! Mimi kumjaribu mtu sitakagu kabisaaaa! Unakuja kujua TOO LATE!!!!! Vishakunogea mpaka kwenye DAMU!!!!
   
 3. s.fm

  s.fm JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2012
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 669
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Cheating haina kiwango...kuanzia matamanio mpaka kuvua pichu...
   
 4. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,959
  Likes Received: 1,830
  Trophy Points: 280
  my kaka SnowBall kwani qualified cheating ilianza wapi? assume uko dar ghafla ktk pitapita zako ukakutana na gfsonwin akakudatisha mkapata night stand kisha comms zikawepo za kutosha do you think kwamba utaweza kustop hiyo relationship pasi kurudia?

  to me huwa naamin mbinu za mwanamke yyte yule ziko very strategically yaani utakuta demu kajipanga one month kwa witch dr ili ampate wa kumsafishia nyota sasa bahati mbaya huyu anakutana na wewe what do you expect?

  all in all extent ya torture ni tofauti kabisa kwa night stand na ile ya full small house ila kosa la uzinzi liko pale pale.use kabisa?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. v

  valid statement JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Mkuu, Cheating ya one night haina madhara kabisa mdau.
  Kwanza maranyingi huwa haina ushahidi (na ndio sababu wengi wanaiita ''cha kisela'')
  kumpangishia manzi nyumba kabisa?? Dah ....
   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Oct 9, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,224
  Trophy Points: 280
  samahani kipirabarafu ( SnowBall)
  hivi nyie wanaume hamuwezi kutuliza ndude zenu mpaka mpate hata usiku-mmoja-uliosimama? (one night stand)??????
  Yaani kuvumilia wiki mwezi inakuwa shiiiiiiiiiiiiiida?

  Sorre nimetoka nje ya mada....

  Nikirudi ndani ya mada,
  haijalishi kama usiku-mmoja-uliosimama(one night stand) au dakika-moja-ilosimama (one minute stand) as long as unasomamisha na mtu ambaye sio mkeo/gf hiyo ni CHEATING tu!!!!!!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Root

  Root JF-Expert Member

  #7
  Oct 9, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,238
  Likes Received: 12,949
  Trophy Points: 280
  Nikusimamia kanuni/sheria za Mungu alisema usizini,usiue,usidanganye,usitamani.
  Yaani hii inaanzia kutamani,unamdanganya uliemwacha nyumbani,unazini.
  Ni kosa hata mara moja

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 8. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #8
  Oct 9, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  I got your point buddy...
  But do you think every dating should sustain?
  How do you define chapchap???
   
 9. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #9
  Oct 9, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Kwa hiyo hata kutamani moyoni is a mere cheating?
  Je does every cheating torture with the same level?
   
 10. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #10
  Oct 9, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Kwenye torturing ulipogusia ndio na mimi ninaposemea..
  Unajua kwa nini Schwazenneger aliachana na mkewe Maria Shriver?
  I guess ni maumivu...yaani uwe na mtoto wa miaka 17 halaf hujaniambia ..why?
  Na mbaya zaidi with her housemaid..loset?..Nadhani one nite stand haina maumivu ya kiwango hiko..

   
 11. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #11
  Oct 9, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Ndio maana nasema kuna 'cheating' na 'chaeting'..somewhere should be a demarcation..lol
   
 12. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #12
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,959
  Likes Received: 1,830
  Trophy Points: 280
  definately one night stand haina maumivu kama ya permanent cheating. ila dhambi ni ile ile
   
 13. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #13
  Oct 9, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Kwa hiyo mdau wangu ile kidude kugusana na kidude kischohusika tayari ni cheating..ryte?
  How do you consider maumivu..yaani yule wa kijijini ambaye hata namba za simu zake sina na huyu wa mtaa wa jirani ambako napeleka na matumizi kila kukicha...wapi iko fair???
   
 14. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #14
  Oct 9, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Hivi dini hainaga exceptions eeh???
  Mbona kuna sehemu jamaa alitengeneza bia??
   
 15. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #15
  Oct 9, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Do you believe in that analogy..ya kuwa hakuna dhambi kubwa na ndogo??
   
 16. Root

  Root JF-Expert Member

  #16
  Oct 9, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,238
  Likes Received: 12,949
  Trophy Points: 280
  Alitengeneza ila unaona kilimtokea nn? Aliishia kulaani mjukuu wake kwani Ham alimcheka baba yake na kawaida laana huenda kwa watoto.
  Twende nyuma turudi mbele ukisaliti umetenda dhambi,kwani umedanganya,umezini na biblia imeandika vizuri just refer Kutoka 20 soma utaelewa

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 17. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #17
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,959
  Likes Received: 1,830
  Trophy Points: 280
  yes kwani extent ya kosa inabaki kuwa ileile kama imesemwa usizini ukazini siku moja huna tofauti na yule aliyezini siku 50 manake wote mliinvolvu kutumia hekalu la rhmt. dhambi ni sawa kwasabbau zote zina uwiano sawa kwa unayemkosea imagine kama umekuwa mchoyo ukasababisha mauti utahesabiwa uchoyo na uuaji na yule aliye kuwa mchoyo akasababisha mateso atahesabiwa mchoyo vilevile na mtesaji
   
 18. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #18
  Oct 9, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  hivi one night stand wanafanya kinguo nguo au mshedede unazama chimboni?
   
 19. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #19
  Oct 9, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  i guess it's very close to kinguo nguo..
  Probably the difference is that one night...it could be even one minute..lol!
   
 20. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #20
  Oct 9, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Do you believe that miongoni mwa dhambi kubwa ambayo hata wachungaji imewashinda ni uzinzi..
  Ila IMO it has got to differ depending on the torturing that somebody is enduring..
  Ulishawahi kusikia mtu anasema 'bora ungetembea na mtu mwingine yeyote lakini sio huyu'??
   
Loading...