Stress kidogo ziniaibishe kwa mke wangu

Wanawake/mkeo wengi hawana hekima (wabinafsi). Wanachotakiwa wajue kuwa kwa mwanaume yeyote ukionesha dalili za kuwa disapointed na tendo la ndoa vyovyote vile tayari umemmaliza huyo mwanaume hata kama hana hilo tatizo.

Mwanamke mwenye hekima akiona kitu kama hicho anamkumbatia mmewe na kumwambia pole mme wangu najua umechoka pumzika tutaendelea ukiwa uchovu ukiisha, au anamwambia nimelizika mme wangu hata kama kwa kufake.

Mwanamke akifanya hivo atamkimbia huyo mme kwa show kali kali...
 
Back
Top Bottom