Stress kidogo ziniaibishe kwa mke wangu

MOSHIFST

Senior Member
Jun 4, 2014
136
247
Wakuu miezi km mitatu iliyopita nilikumbwa na janga kidogo liharibu ndoa yangu.
Ilikua hivi: Mi nakaa mbali kidogo na mke wangu, na mke wangu anafanya kazi Dar.
Sasa sisi wanaume wa Kolomije huwa hatuwazi sana kuchapiwa mke so long as hakudharau au kukuletea nyodo, km anachapwa achapwe tu coz wapitaji hawataimaliza.

Pia wanawake wetu huwa hawafuatilii sana waume zqo maana Kolomije tumeaminishwa....Mwanamke hachungwi pia mwanume hafuatiliwi, na dawa ya mwanamke kwenye doa ni dozi ya kufa mtu.

Sasa kwangu maneno haya ndio nayatumia katika maisha yangu. Sasa toka nimuoe mke wangu huwa nagawia dozi ya haja, anakojoa anaridhika.
Sasa nilikumbwa na stress za maisha,nikaja Dar nikakuta joto liko juu na mimi sijazoea na nikawa na mishe ya kuwa naenda Kariakoo kila siku, naamka alfajiri narudi nyumbani usiku, nimepigwa foleni,mbanano na kusimama kwenye daladala...kila nikirudi nyumbani niko hoi,ulimi, Ungosha wa Kolomije ukaniishia na kuwa mwanaume wa Dar halisi.

Sasa nikawa sina uwezo wa kuendesha shoo ya kibabe...kuna siku nilipanda ngoma ikasinyaa iko ndani....Wife alipaniki,kachukia na kuanza kunihoji tatizo ni nini.

Kiukweli mi sikujua tatizo ni nini ila kuulizwa hivyo na mwanamke ilikua pigo tosha kwangu,nikashushwa cheo kutoka ngosha mla ugali mgumu mshamba kutoka kolomije mzee wa shoo za kisukuma...hadi kuwa lisukuma bwege lisilojua jiji

Nilishindwa kupiga shoo siku ile usiku,nikajaribu asb ikachukua dk 4 tu wazungu wakatoka....stress halisi zikanijaa.Toka wakati huo wife akawa na kisirani, kaninunia akawa ukimwuliza kitu kujibu hakuna...yaani akitaka kuongea na mimi anauliza tu nina tatizo gani...NILIUMIA SANA ila sikua na jinsi.

Mishe iliyonipeleka Dar nilimaliza nikaenda Morogoro halafu nikarudi nikaoishi.Nikawaza nitafute mchepuko bt nikaona sio ishu,nilikaa kila nikiwaza amani inaniishia na mzee wa pori akawa hasimami kabisa

Niliamua kujikeep busy na mambo mengine mwishoni nikasau...nikasema ngoja niende kwa wife...nilienda still performance ikawa sio nzuri sana bt improved.
Nikaona isiwe taabu, nikawaza Maugali yote nayokula hayasaidii? Potelea mbali let me get busy with my issues, ebwana eeh, nikakomaa halafu wife akawa naye ameanza kusahau ile dhahama,nikasafiri badae nikarudi zile stress zishaisha.....

Kawaida mi natumia uzazi wa mpango kwa kutumia Kalenda na wakati mwingie hutumia kondomu siku za hatari ambazo nazl ni kero sometimes...

Sasa niliporudi safari nikaa kimya kidogo, nilipocheki kalenda kwenye simu yangu ikanionesha wife yuko safe danger zone imepita....Basi mzee baba...ngosha kutoka kolomije nikasepa kwenda kwa wife.
Nilifika wife akanipokea vizuri tu kapika ugali samaki na maziwa mwanawane nikakamua vya kutosha.Nikacheza na watoto wangu yaani familia ikawa na full shangwe kwamba baba karudi.

Joto la Dar lilikua limeisha kidogo mazingira yalikua safi kabisa na matulivu(Huwa hatutumii feni maana wife huwa hataki sababu inasumbua watoto na vikohozi).

Muda wa mechi ukafika...mwanawane maandalizi yakafanyika ya haja....mzee mzima nikapanda ulingoni (kwanza nikabdaili staili,Gwaji staili nilikua staki kuisikia kabisa).Ebwana eeh! Tulianza taratibu tukiwa tunapiga stori, kadri muda unavyoenda mambo yalizidi kuchacha...

Wife akaanza kujiandaa kudaka Magoli,nikaona leo hasutwi mtu hapa...Ngoja.... nikaanza mashambulizi...kosa kosa kwenye lango la mpinzani zikaanza...nikazidisha mashambulizi...kipa kajitahidi kupangua dk za mwanzo...ebwana eeh? Nikajikuta UMWAMBA usharudi nilimshughulia wife mpaka akaomba poooh! Alipiga miyowe mpaka akachoka...akawa mzito hata macho hawezi fungua...kalainika...kuongea hawezi...mzee baba niliachia shuti moja tu nami nikazimaa!

Kesho asb sikutoka mwili na viungo vyote vilikua vinauma bt wife aliamka na furaha sana, kubembelezwa hakuishi....kaenda kazini meseji hazikauki...ikawa km ndio tumeanza Mapenzi.Nilishinda siku hiyo km naumwa Malaria...kila sehumu ya mwili ilikua inaumaa.....

Usiku uliofuatia tendo liliendelea vizuri tu hadi nikaondoka respect iliku isharudi na iko juu balaa.Nimefika ninakoishi video call za kumwanga....kuambiwa watoto wanakusalimia ilikua hakuishi...Nami AMANI ILIRUDI MOYONI

Kiukweli hali ile ya kshindwa kumridhisha wife iliniweka mahali tata sana kisaikolojia, NAIMINI KABISA tatizo la nguvu za kiume linasababishwa matatizo ya kisaikolojia.

Sasa Hivi Baba Minza niko poa tu amani ndani ya familia yangu imejaa
 
Inshu kama hizi ni ndogo ndogo sana kuzileta humu mzazi kama wewe. Anyway sorry kama nimekukwaza bro.
Ni ndogo ndogo km ushaizoea ikikutokea mara ya kwanza unaweza hama mji....mimi ilikia haijanitokea mkuu
 
aa

aah!kumbe ww n baba minza,uje uchukue matokeo ya mwanao shulen hapa
 
Wewe ni mjinga
 
dah wife hakugundua un mastress tu mpaka akuulize..maana hilo swali linamaliza nguvu ..kurudi baada ya muda tena ..ungeomja mcehpuko tu ungeisha maana ungekutana na mtamu balaa anajua vitu angekuteka sasa
 
Back
Top Bottom