Streo type: Je wajua Tanzania kuna wavuta bangi wengi kuliko Jamaica.

Idiot Embicile

JF-Expert Member
Apr 30, 2019
1,037
1,968
Kwa ambao hatujawahi kufika Jamaica, mtu akiongea kuhusu Jamaica cha kwanza kufikiria kichwani ni bangi.Toka tukiwa wadogo tulishakaririshwa Jamaica ndio sehemu bangi inavutwa kupita maelezo.

Tafiti zinaonyesha Tanzania ina watu wanaotumia bangi milioni 3.6, wakati Jamaica watumiaji ni takribani laki 2 kama asilimia 7 ya total population.Jamaica haipo hata katika nchi 20 zinazoongoza kwa matumizi ya Ganja duniani.

Tokea 1913 Bangi ilikuwa ni marufuku nchini Jamaica mpaka mwaka 2015 ambapo baadhi ya mambo yanayohusiana na bangi yaliruhusiwa.Baadhi ya vipengele vya sheria hio vipo kama hivi

1.Hairuhusiwi kukutwa na bangi zaidi ya gramu 56

2.Watu wa imani ya Rastafari wanaruhusiwa kutumia katika ibada zao

3.Unaruhusiwa kulima ila sio zaidi ya miche mitano.

Kuamini Jamaica kuna wavutaji wengi kiasi hicho, it is just because of streo type but it's not a fact.

Kwa msaada wa Google AKA Guluguli
 
Wee Semenya weweee kumbe hupo kundini
 
Je kwa Tanzania idadi hiyo ya 3.6 million ni sawa na asilimia ngapi?
Lengo la thread umelielewa?

Halafu wewe nakumbuka kuna thread yako naikumbuka, uliileta hapa kwa maneno uliyotumia Haina shaka wewe Ni mtumiaji wa ganja mzuri.

Naitafuta nikiipata naipest hapa
 
Aisee, I was about to ask the same thing
Even if Jamaican percentage for those who smoke cannabis is large than Tanzanian.

But the issue still to be strep type because it is too small than we used to believe.
 
Back
Top Bottom