"Street University" by Shigongo

Jafar

JF-Expert Member
Nov 3, 2006
1,136
52
Nimekuwa nikisikia hii street university ya Shigongo lakini siielewi undani wake, kuna mtu ana shule zaidi anieleweshe. Ina faida gani? Nataka kujiunga.
 
Nimekuwa nikisikia hii street university ya Shigongo lakini siielewi undani wake, kuna mtu ana shule zaidi anieleweshe. Ina faida gani? Nataka kujiunga.

Jafar kanunue hiyo DVD yake uweze kujua kilichomo. Kifupi anafundisha ujasiliamali!!

Au unataka kutafuniwa kila kitu hapa JF?
 
Tunaomba iwekwe kwenye download,tuipate kwa free. Kwani hata yeye huwa anapata hela zetu free kwa magazeti ya udaku.
 
I saw the CD. Very low quality and not professional shot and edited.

However the cover is Superb.

In most cases alikuwa anaongea na kikundi au vikundi vya Ujasiliamali na hasa vya Kanisa/Makanisa.

I have not been impressed with the quality although on his talks there are few things you can pick up.
 
shigo.jpg
 
Nimekuwa nikisikia hii street university ya Shigongo lakini siielewi undani wake, kuna mtu ana shule zaidi anieleweshe. Ina faida gani? Nataka kujiunga.

Unahitaji kujua mahali kilipo hicho chuo?? A.k.a chuo cha mtaani!!?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom