Nimekuwa nikisikia hii street university ya Shigongo lakini siielewi undani wake, kuna mtu ana shule zaidi anieleweshe. Ina faida gani? Nataka kujiunga.
Jafar kanunue hiyo DVD yake uweze kujua kilichomo. Kifupi anafundisha ujasiliamali!!
Au unataka kutafuniwa kila kitu hapa JF?