Itovanilo
JF-Expert Member
- Jul 30, 2018
- 2,314
- 5,138
Hapo ume subject,ila si mbayaNamba 3 sikubaliana na wewe kama Mangi anauza vitu bei ya juu wakati kuna sehem nyingine vitu bei ya chini
Hapo ume subject,ila si mbayaNamba 3 sikubaliana na wewe kama Mangi anauza vitu bei ya juu wakati kuna sehem nyingine vitu bei ya chini
Jiangalie dogoNa sisi ndo wahuni wenyewe..shirikiana nasi
Kama unahitaji drugs,Malaya,mastori,mavibe tucheki
Well said mkuu, uwe undefined!8. Epuka nyendo zako zote kuwa wazi sana machoni kwa kila mtu. Miche miche zako nyingi zisiwe zinatabirika. Kwa mfano, unapenda nini zaidi, hupendi nini, unatoka saa ngapi, unarudi nyumbani saa ngapi, unafanya kazi gani, una biashara gani, una mipango gani ya kimaisha, una miliki nini nk.
Kwamba salamu Ina shida gani!!Salamu siyo nzuri uswahilini, Ni Bora upige kimya ukionekana unaringa utaepuka Mengi. Tabia ya mtu inapimwa kwa utashi na Haina ya mtu siyo salamu.
Yes!Salamu siyo nzuri uswahilini, Ni Bora upige kimya ukionekana unaringa utaepuka Mengi. Tabia ya mtu inapimwa kwa utashi na Haina ya mtu siyo salamu.
Hongera!Sehemu nyingi nilizokaa nimejifunza kumheshimu kila mmoja lakini sio kujenga mazoea na watu, ni salamu tu no story, hii imenisaidia kuepusha mambo mengi sana