Strategy za kukuza kidogo kuwa uchumi wa kati

Tzania

Member
Jul 23, 2019
31
12
Wakuu habari za humu ndani wanaharakati wenzangu naombeni mawazo Nina kajipesa kangu kama 10 million nataka nikakuze walau kawe kana kua lengo ni kumiliki ofisi binafsi kwa maana duka sasa sijajua ni biashara gani ambayo inakuza mtaji kwa haraka ili nisije poteza kidogo nilichonacho.

Ili baada ya kuwa na capital yakutosha nifungue ofisi kariakoo japo duka au njia ipi ambayo naweza kuza hii pesa kwa haraka.
Onyo nisingependa wale wanopendaga kuchafua hoja za wenzao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibu FOREX u-download pesa
 
Back
Top Bottom