Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 843
Which strategies would you propose?
Which strategies would you propose?
[*]two: - Bring in Azimio la Arusha.
SteveD.
Empowerment (economic empowerment) of our people.
I think thats what nyerere tried to do but failed or isn't it? by "kutaifisha", mashamba, viwanda, majumba, mpaka mabucha, Duhh.
You are wrong mate! Nationalisation is quite different from empowerment. Empowerment is about "people" as individual entities.
Empowerment is the process of increasing the capacity of individuals or groups to make choices and to transform those choices into desired actions and outcomes.
Empowerment has nothing to do with government ownership. The role of the government is to act as a facilitator, responsible for creating a conducive environment where entrepreneurship and individual ownership can flourish.
Steve D,
Kama azimio la arusha lirudi basi, virudi baadhi ya vipengele vinavyohusu maadili ya uongozi,mzee kuna contents zake nyingine za Azimio la Arusha zinatisha sana.
Steve D,
Kama azimio la arusha lirudi basi, virudi baadhi ya vipengele vinavyohusu maadili ya uongozi,mzee kuna contents zake nyingine za Azimio la Arusha zinatisha sana.
Nadhani ndiyo maana amesema modernize siasa ya ujamaa na kujitegemea. Azimio lile liangaliwe upya na kuondoa vifungu vilivyopitwa na wakati lakini lengo lake kuu libaki pale pale, yaani kujenga Taifa la kijamaa linalojitegemea kuanzia ngazi ya familia, kijiji, wilaya, mkoa hadi Taifa zima libaki pale pale.
Azimio la Arusha is dead (period). Fanyeni innovation ya ideas zingine. Haya mambo ya kuturudisha kwenye karne ya ishirini tena hatutaki. Mnaweza kutumia kama reference tu, tena kwenye utangulizi au reference review kuwa zama za kale kuwa kulikuwa na ujima fulani.
Bongolander:
Azimio la Arusha ni kwa masochists, watu wanaopata raha kwa kupewa maumivu.
Hiko proved kuwa competition inaongeza innovation. Azimio la Arusha lina-discourage ushindani kiasi cha kuleta uzezeta kwa vijana wa kitanzania. Utingo analipwa sawa na daktari.
Wanaotaka Azimio la Arusha safari hii wajiandae na mapambano ya ideology na ngumi.