si tulikubaliana anahold mabeki?
Jamani vumilieni hiyo ni mechi moja tu.Binafasi Huwa sijaelewa kigezo Cha kumuacha chikwende unambakiza kagere au mzamiru yaani au pale kocha anapomuacha mkude bench anacheza taddeo
DuuhHivi punde Mugalu na yeye eti kapost status kwenye Instagram yake eti sisi tunaojaji kupaji chake ni wanafiki!!sijaona tofauti ya molinga na Mugalu tena hata molinga alikuwa bora zaidi