mlishashindwa mtakufa kabla yake
Akuambie wewe kama nani?Hawajibili kwa namna yoyote ile kukujibu!Naona bado anajitekenya. Siku akirudi atuambie ni nani alikuwa akifadhili ziara zake huko nje ya nchi
Balozi wa tanzania nchini Marekani,unafikiri Masilingi nikama wewe hana utuNaona bado anajitekenya. Siku akirudi atuambie ni nani alikuwa akifadhili ziara zake huko nje ya nchi
Leo ndio mnamkumbuka Mwalimu. Ha ha ha, si huyu huyu aliedaiwa na Lisu kuwa ni muongo na anaishi kiujanja ujanja?
shindana na Mungu wewe utanyooka kabla yake! kamuulize Mwigulu damu ya ndugu yake inamlilia
Halafu....Naona bado anajitekenya. Siku akirudi atuambie ni nani alikuwa akifadhili ziara zake huko nje ya nchi
Ameshindwa vibaya ki vipi? Kwa kumwabia Lissu kuwa Interpol itumike kwani yeye ni criminal? Nani aliye onekana hayajui matumizi ya interpol? Lissu anaimba tu Interpol interpol, hajui hata kwa nini nchi zinatumia system ya Interpol?Ningumu kutetea uovu ulio dhahiri kama wa Jiwe. Kwani balozi angalau amejitahidi. Ingekuwa jiwe mwenyewe asinge fikia hats 2% ya alicho ongea balozi ingawa balozi mwenyewe ameshindwa vibaya sana.