Straight Talk Africa na Shaka Ssali: Tundu Lissu jino kwa jino na Balozi Wilson Masilingi

Ningumu kutetea uovu ulio dhahiri kama wa Jiwe. Kwani balozi angalau amejitahidi. Ingekuwa jiwe mwenyewe asinge fikia hats 2% ya alicho ongea balozi ingawa balozi mwenyewe ameshindwa vibaya sana.
Ameshindwa vibaya ki vipi? Kwa kumwabia Lissu kuwa Interpol itumike kwani yeye ni criminal? Nani aliye onekana hayajui matumizi ya interpol? Lissu anaimba tu Interpol interpol, hajui hata kwa nini nchi zinatumia system ya Interpol?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom