Straight Talk Africa: 50 years of Independence for Tanzania

Vancomycin

Senior Member
Jan 7, 2011
171
111
wAKUU

KITUO CHA VOICE OF AMERICA KINARUSHA LIVE KIPINDI CHA STAIGHT TALK AFRICA LEO WAKIZUNGUMZIA MIAKA HAMSINI YA UHURU WA TANZANIA

MNAWEZA TUPIA JICHO HUKO HATA STAR TV WANAONYESHA PIA
 
topic: 50yrs of independence for Tanzania. Membe anda Dr.Mbilinyi interviewed live. you can participate via facebook. keyword: straight talk africa
 
Nemepata nafasi ya kusikiliza kipindi cha. Straight talk Afrika kwenye voice of Amerika. Nimependa alivyozipanga hoja zake hasa kuhusu umuhimu wa kuazimisha miaka 50 ya Uhuru wetu. Kilichonifurahisha ni jinsi alivyoziweka hoja zake
 
Straight Talk Africa

41780_36235438073_6938_n.jpg

Mhe. Dr. Membe Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa hewani akijaribu kufafanua masuala ya Tanzania ikiwemo uraia wa nchio mbili (Dual Citizenship)

Dr. Lyungai Mbilinyi, Secretary of the Diaspora Council of Tanzanians in America (DICOTA) joins host Shaka Ssali to discuss the upcoming conference marking 50 years of independence for the east African nation as the organizations looks closely at the impact of the diaspora on the countries political and economic success. http://www.dicotaus.org/

Watch Star TV: http://www.facebook.com/voiceofamerica?sk=info#!/VOAStraightTalkAfrica?sk=wall

[h=3][/h]

straight talk AFRICA LIVE BROADCASTING. Topic: significant of 50yrs of independence for Tanzania. Membe and Dr. Mbilinyi live now. follow on facebook: straight talk africa
 
wAKUU

KITUO CHA VOICE OF AMERICA KINARUSHA LIVE KIPINDI CHA STAIGHT TALK AFRICA LEO WAKIZUNGUMZIA MIAKA HAMSINI YA UHURU WA TANZANIA

MNAWEZA TUPIA JICHO HUKO HATA STAR TV WANAONYESHA PIA

Asante kwa taarifa, kumbe ni Membe. Nina sababu ya kuangalia. Kuna tofauti kubwa kati ya bwana huyu na mawaziri wenzake pamoja na controversies zake. He is bold enough, he confronts, this is a rear specie katika uongozi wa tanzania wa leo.
 
Membe is brainiac...sikiliza hoja zake...
 
Naishi Tanzania naishi pembezoni mwa nchi hivyo hatupati muda wa kuwasikiliza viongozi wetu wakitoa hoja. Suala la kuwa na Umoja is a single most achievement that you dont need to be a university graduate to know that.

I am also impressed largely by membe's capability to articulate issues as he did in this programme of straight talk

umefurahia hoja..what about real acts on the ground? wewe unaishi mars??
 
Asante kwa taarifa, kumbe ni Membe. Nina sababu ya kuangalia. Kuna tofauti kubwa kati ya bwana huyu na mawaziri wenzake pamoja na controversies zake. He is bold enough, he confronts, this is a rear specie katika uongozi wa tanzania wa leo.
Membe is another crap who doesnt know what he is saying, especially how he has reponded to the last question about MV Bukoba and MV Spice Islanders. He did not say why are these events are keeping on recurring. These guys are actually JANGA LA KITAIFA. I hate CCM and their allies
 
Nikimwangalia huyu waziri unaona kabisa kwa kikwete alikuwa makini kumpa nafasi ya Waziri wa mambo ya Nje. Anaonyesha anaifahamu historia vizuri ya Tanzania.nilijihisi napigwa msasa wa current issues in tz
 
Afadhali hata wewe ambaye hujaangalia kwa sababu hata mimi niliyeangali nimeshindwa kupata summary ya nini haswa ameongea Mh. Membe.Ni kama hakukua na jipya zaidi ya kuelezea amani tulionayo na mafanikio ya kitendo cha kuungana na Zanziba(kwa maana ya muungano kudumu muda mrefu kwa kutatua kero).
Kwa tusio karibu na runinga unaweza kutupatia kwa muhtasari membe anazungumza nini?
 
Nikimwangalia huyu waziri unaona kabisa kwa kikwete alikuwa makini kumpa nafasi ya Waziri wa mambo ya Nje. Anaonyesha anaifahamu historia vizuri ya Tanzania.nilijihisi napigwa msasa wa current issues in tz

Huyo ndio Benard Kamilius Membe...a pure diplomat...
 
Asante kwa taarifa, kumbe ni Membe. Nina sababu ya kuangalia. Kuna tofauti kubwa kati ya bwana huyu na mawaziri wenzake pamoja na controversies zake. He is bold enough, he confronts, this is a rear specie katika uongozi wa tanzania wa leo.
Huyu ni waziri tofauti kabisa na wengine,, the fellow is sober and well informed
 
Back
Top Bottom