Story za mtaani kuhusu umafia wa madalali

Sisi tulichukua nyumba bila dalali.

Mmoja wetu (asietaka iyo nyumba) alienda na dalali wakazurura akapata nyumba ila akajofanya hajaipenda. Akasepa, akamchorea ramani yule anaeitaka. Jamaa straight akaenda kwenye nyumba akaongea na maza house, akakubali maza house akailipia.

Kurudi madalali kesho na mtu wanasema nyumba imelipiwa. Wakajaribu kumjua alielipia wanakuta sura ngeni. Wakajua wamezungukana wenyewe kwa wenyewe.
Hapo atakuwa alikulaani sana moyoni
 
Watu wengi wanachulia vitu simple sana ila huku uraiani kuna utaratibu wa kuishi yaani haki yako inaweza kukuletea shida kama tu utaenda nje ya makubaliano hizi mambo za kimafia siyo tu zipo kweny udalali bali ni sehemu zote tu, kitendo cha wewe kuleta ujuaji tu lazima upotee hata kama mali ni yako na wengi tamaa ndo huwa zinawaponza
 
nikikwambia nauza milioni mia...akaja wa milioni 400....lazima tukae chini tuzungumze upyaaaa...haiwezekani KABISA.....ikishindikana siuzi....mali ni yangu......nishawazingua sana.....tusitishane hapa.....
 
Back
Top Bottom