Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 13,137
- 21,437
Huyo hata ungemuoa bado angekua hasara tu. Mkuu shukuru mungu amekuonesha her black side.
salute mkuuKosa kubwa zaidi ulilofanya ni kutomtafuna.
Binti hana kosa, kosa liko kwako, huwezi kua na mwanamke kwenye mahusiano miaka 2 hujamtafuna, huo ni uzwazwa.
Kama mwenyekiti wa chama cha wanaume nakuwekea red color, naangalia mwenendo wako, hali hii ikiendelea unahamishiwa upande mwingine.
Yaani nimejikuta nimecheka tu ghafla aisee . Utadhani ulikuwa unamsubiriaKosa kubwa zaidi ulilofanya ni kutomtafuna.
Binti hana kosa, kosa liko kwako, huwezi kua na mwanamke kwenye mahusiano miaka 2 hujamtafuna, huo ni uzwazwa.
Kama mwenyekiti wa chama cha wanaume nakuwekea red color, naangalia mwenendo wako, hali hii ikiendelea unahamishiwa upande mwingine.
Oh oh oh sio wote weeeh ndoa haifai kuwekwa presha inakuja automatic tena mwanamke ndio anamfanya mwanaume aone huu n wakat sahihi wa kuoa sasaWanawake wa pwani kuolewa ni fasta fasta hawasubirigi mambo sijui bado najipanga.
Wimbo ameshirikishwa christian bella king of melody...unaitwa roho inaniuma(if im not mistaken)"Mapenzi ni kama ligi ya mbuzi straika anaweza otea!
Wengi wanawaudhi wachache wanaoplay fair"
Ameimba fidQ wimbo sijui unaitwaje!
Pole sana mkuu
Userious unapimwa kwa kitu gani? Hatuachi kumshirikisha Mungu sababu kila jambo hupangwa na Mungu huyo huyo. Anyway.....yameshapita.Acheni kumuhudisha Mungu na uzembe huu. Were mkaka hukuwa serious, mwache TICHA wangu ajilie kwa upole. Nikuhakikishie araishi maisha mazuri tu. Wewe ulilemba. Miaka 2 kata kiu hakuna duuuu!! Nawe una SHIDA zako.
Userious unapimwa kwa kitu gani? Hatuachi kumshirikisha Mungu sababu kila jambo hupangwa na Mungu huyo huyo. Anyway.....yameshapita.
I will marry when I want. Mi sio mtoto. Nilishapitia mambo mengi sana huko nyuma. I know myself.Ustadhi nakushauri tafuta mchumba pale utakapokuwa tayari kuoa hayo mambo mengine waachie Wafilipino na wacheza move wengine vinginevyo uwe tayari kufanya zinaa kabla ya ndoa na ukifanya zinaa kabla ya ndoa hakutokuwa na maisha ya dini kwenye ndoa maana kila mtu atakuwa anamuona mwenzie anacheza move ya maisha ya dini ndani ya ndoa
hivi huwa mnarudi?Ntarudi baadae kidogo