Story yenye funzo: Tayari ameolewa

Kosa kubwa zaidi ulilofanya ni kutomtafuna.

Binti hana kosa, kosa liko kwako, huwezi kua na mwanamke kwenye mahusiano miaka 2 hujamtafuna, huo ni uzwazwa.

Kama mwenyekiti wa chama cha wanaume nakuwekea red color, naangalia mwenendo wako, hali hii ikiendelea unahamishiwa upande mwingine.
salute mkuu
 
Unakaaje na demu miaka miwili bila kumla? Utaachwa sana kwa style hiyo Ww endelea kuswali rakaa 2 wenzio wanafyonza utamu
 
Kosa kubwa zaidi ulilofanya ni kutomtafuna.

Binti hana kosa, kosa liko kwako, huwezi kua na mwanamke kwenye mahusiano miaka 2 hujamtafuna, huo ni uzwazwa.

Kama mwenyekiti wa chama cha wanaume nakuwekea red color, naangalia mwenendo wako, hali hii ikiendelea unahamishiwa upande mwingine.
Yaani nimejikuta nimecheka tu ghafla aisee . Utadhani ulikuwa unamsubiria
 
Wanawake wa pwani kuolewa ni fasta fasta hawasubirigi mambo sijui bado najipanga.
Oh oh oh sio wote weeeh ndoa haifai kuwekwa presha inakuja automatic tena mwanamke ndio anamfanya mwanaume aone huu n wakat sahihi wa kuoa sasa
 
Ungemtia mimba tu,hivyo angeenda na mimba yako! Ndoa ingevunjika ndani ya mwaka na angerudi kwako kiulaini!
 
"Mapenzi ni kama ligi ya mbuzi straika anaweza otea!
Wengi wanawaudhi wachache wanaoplay fair"

Ameimba fidQ wimbo sijui unaitwaje!

Pole sana mkuu
Wimbo ameshirikishwa christian bella king of melody...unaitwa roho inaniuma(if im not mistaken)
 
Acheni kumuhudisha Mungu na uzembe huu. Were mkaka hukuwa serious, mwache TICHA wangu ajilie kwa upole. Nikuhakikishie araishi maisha mazuri tu. Wewe ulilemba. Miaka 2 kata kiu hakuna duuuu!! Nawe una SHIDA zako.
 
Userious unapimwa kwa kitu gani? Hatuachi kumshirikisha Mungu sababu kila jambo hupangwa na Mungu huyo huyo. Anyway.....yameshapita.
 
Mkuu polee sana,naamini Mungu atakusaidia utampata mwingine!

Ila pia kosa ulilofanya ni kutomtafuna huyoo binti,ulitaka kuoa kabla hujatest mitambo Mkuu?
 
Userious unapimwa kwa kitu gani? Hatuachi kumshirikisha Mungu sababu kila jambo hupangwa na Mungu huyo huyo. Anyway.....yameshapita.

Ustadhi nakushauri tafuta mchumba pale utakapokuwa tayari kuoa hayo mambo mengine waachie Wafilipino na wacheza move wengine vinginevyo uwe tayari kufanya zinaa kabla ya ndoa na ukifanya zinaa kabla ya ndoa hakutokuwa na maisha ya dini kwenye ndoa maana kila mtu atakuwa anamuona mwenzie anacheza move ya maisha ya dini ndani ya ndoa
 
I will marry when I want. Mi sio mtoto. Nilishapitia mambo mengi sana huko nyuma. I know myself.
 
Ni jambo la kheri ikiwa ameolewa mwenye zimungu awajaalie kila lililo lenye kheri ili aepuke zinaa.

Nachoona hapa ni kuwa unajaribu kulaumu na una kinyongo kuolewa kwake bila kujuwa ulipwaya katika nafasi yako aliyokupa, umesema kuwa dada yake tu ndiyo alikuwa akijuwa akijuwa anakuja kwako.

Je? Unaona ni sawa kuwa na mchumba huku miaka miwili kwao hawakujuwi wewe, kwenu hawamjuwi yeye hapa nazungumzia wazazi sio marafiki.

Toka 2016,upo nae ikiwa yeye ni mwanamke wa kiislamu ulitaka afanye nini anapokuwa anapatwa hisia.... tena unalaumu eti miaka 22 bado mdogo?

Mwisho.... Nampongeza kwa uamuzi aliochukua wa kuolewa na kusitiriwa.
 
Back
Top Bottom