Story ya mwenyekiti wa kijiji aliekuwa hasamehi watu wake wala hakuamini neno bahati mbaya

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,183
11,200
Hii story nilisimuliwa na mkuu mmoja wa chuo na leo nimeikumbuka sana nikasema sio mbaya ni shear nanyi kama elimu kwetu.

Palikuwa na mwenyekiti mmoja wakijiji fulani hapo zamani alikuwa akiongoza kijiji chake kwa kufuwata sheria na taratibu zilizo wekwa na kijiji. Mwenyekiti huyu alikuwa hana msalia mtume kwenye swala la sheria za kijiji na ilikuwa ukifikishwa kwake kwa shauri basi hata kama ulikosea kwa bahati mbaya ilikuwa unapata adhabu kali maana alikuwa haamini kwenye neno bahati mbaya abadani alikuwa amini. Siku zote mashauri yaliofika ktk meza yake hata kama wale wazee wenzake wabaraza wangesema huyu mtu alifanya kosa bila kukusudia yeye akiwa kama kiongozi wakijiji alisema lazima awajibishwe sawa sawa na kanuni za serikali ya kijiji.

Siku moja yeye na mke wake asubuhi walidamka kwenda shamban, na kama unavyojuwa zamani zile wazee wakijiji wakitoka kwenda shamba anakuwa na mkuki au upinde kwa ajili ya mawindo awapo shambani. Akiwa ktk kutembea kwenye vile vijia vya kijijini zamani hizo mara ghafla yeyeakiwa mbele mkewe nyuma nyoka akatokea kwa mbele na ile hamad amchome mkuki kumbe ameshika vibaya mkuki ile ncha yenye sumu ipo nyuma hivyo aliporudisha kwa nyuma mkuki akamchoma mke wake pale pale akafa kwa sababu mkuki ulikuwa na sumu kali.

Bahati mbaya pale hapakuwa na mtu mwingine isipokuwa yeye na mke wake ambaye ndio amekufa. Mweneyekiti akakimbia mbio kijijini kuwa ambia wazee wenzake yaliomkuta akiamini hakuna jambo baya alilofanya na ile nikama hakuna kesi. wazee wanzake wame msikiliza wakamchukua mke kama taratibu zao zilivyokuwa na kuusomea na kisha kuuzika mwili wa mke wake.

Ktk sheria za kijiji kile kulikuwa na taratibu zakushughulikia mashitaka ya mtu alie uwa hivyo mwenyekiti alipewa nafasi kumsikiliza kama sheria ilivyo taka ila jambo alisahahu nikuwa same sheria ilikuwa inakula uwenyekiti wake pamoja na adhabu kali pasipokujali nafasi yake. hivyo baada ya mashitaka kusikilizwa mwenyekiti paspo shaka hakukusudia ila kutokana na vile wazee wale wale walikuwa wakimshauri asamehe watu na yeye akagoma ndio hao hao walimkalia kooni na kumwambia ndugu mwenyekiti kwa miaka mingi tulikushauri usiwahukumu watu wengine walikosea pasipo kukusudia ila wewe uliwahukumu na kusema hakuna jambo la bahati mbaya leo wewe unataka kutuaminisha umemuuwa mkeo kwa bahati mbaya?

Wakati yakisemwa hayo mwenyekiti alikuwa akilia sana nakukumbuka vile aliwananga watu nakutokubali kusamehe na leo same sheria wanaitumia kumuadhibu pasipo huruma. Wazee wakamvua uwenyekiti nakumpa adhabu kali ili iwe fundisho kwa vizazi vijavyo.

Kumbe ktk maisha hata ukiwa nani nilazima ukumbuke ni mwanadam kama wenzako usiache tumia nafasi yako kama mwanadam kusamehe wengine kwa misingi ya sheria kesho ukawa kamahuyu mwenyekiti

pasaka njema
 
Inafndsha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TumainiEl akili imekurudia, Mungu akubariki maana yupo na wanaoweza kuona, kutafakari na kutafsiri
Muda waja wakati watoa hukumu watakuwa wahukumiwa, kinachofurahisha ni kwamba sheria wanazotumia kwa wengine ndizo hizo hizo zitakazo tumika,UTAKATISHAJI FEDHA nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu TumainiEl hii story yako ni kama unabii uliyokamilika kabisa au unaendakukamilika, kwa karibu kabisa namuona mwenyekiti kaishiwa mbinu, Mungu amlipe sawasawa na matendo yake
 
Hii story nilisimuliwa na mkuu mmoja wa chuo na leo nimeikumbuka sana nikasema sio mbaya ni shear nanyi kama elimu kwetu.

Palikuwa na mwenyekiti mmoja wakijiji fulani hapo zamani alikuwa akiongoza kijiji chake kwa kufuwata sheria na taratibu zilizo wekwa na kijiji. Mwenyekiti huyu alikuwa hana msalia mtume kwenye swala la sheria za kijiji na ilikuwa ukifikishwa kwake kwa shauri basi hata kama ulikosea kwa bahati mbaya ilikuwa unapata adhabu kali maana alikuwa haamini kwenye neno bahati mbaya abadani alikuwa amini. Siku zote mashauri yaliofika ktk meza yake hata kama wale wazee wenzake wabaraza wangesema huyu mtu alifanya kosa bila kukusudia yeye akiwa kama kiongozi wakijiji alisema lazima awajibishwe sawa sawa na kanuni za serikali ya kijiji.

Siku moja yeye na mke wake asubuhi walidamka kwenda shamban, na kama unavyojuwa zamani zile wazee wakijiji wakitoka kwenda shamba anakuwa na mkuki au upinde kwa ajili ya mawindo awapo shambani. Akiwa ktk kutembea kwenye vile vijia vya kijijini zamani hizo mara ghafla yeyeakiwa mbele mkewe nyuma nyoka akatokea kwa mbele na ile hamad amchome mkuki kumbe ameshika vibaya mkuki ile ncha yenye sumu ipo nyuma hivyo aliporudisha kwa nyuma mkuki akamchoma mke wake pale pale akafa kwa sababu mkuki ulikuwa na sumu kali.

Bahati mbaya pale hapakuwa na mtu mwingine isipokuwa yeye na mke wake ambaye ndio amekufa. Mweneyekiti akakimbia mbio kijijini kuwa ambia wazee wenzake yaliomkuta akiamini hakuna jambo baya alilofanya na ile nikama hakuna kesi. wazee wanzake wame msikiliza wakamchukua mke kama taratibu zao zilivyokuwa na kuusomea na kisha kuuzika mwili wa mke wake.

Ktk sheria za kijiji kile kulikuwa na taratibu zakushughulikia mashitaka ya mtu alie uwa hivyo mwenyekiti alipewa nafasi kumsikiliza kama sheria ilivyo taka ila jambo alisahahu nikuwa same sheria ilikuwa inakula uwenyekiti wake pamoja na adhabu kali pasipokujali nafasi yake. hivyo baada ya mashitaka kusikilizwa mwenyekiti paspo shaka hakukusudia ila kutokana na vile wazee wale wale walikuwa wakimshauri asamehe watu na yeye akagoma ndio hao hao walimkalia kooni na kumwambia ndugu mwenyekiti kwa miaka mingi tulikushauri usiwahukumu watu wengine walikosea pasipo kukusudia ila wewe uliwahukumu na kusema hakuna jambo la bahati mbaya leo wewe unataka kutuaminisha umemuuwa mkeo kwa bahati mbaya?

Wakati yakisemwa hayo mwenyekiti alikuwa akilia sana nakukumbuka vile aliwananga watu nakutokubali kusamehe na leo same sheria wanaitumia kumuadhibu pasipo huruma. Wazee wakamvua uwenyekiti nakumpa adhabu kali ili iwe fundisho kwa vizazi vijavyo.

Kumbe ktk maisha hata ukiwa nani nilazima ukumbuke ni mwanadam kama wenzako usiache tumia nafasi yako kama mwanadam kusamehe wengine kwa misingi ya sheria kesho ukawa kamahuyu mwenyekiti

pasaka njema
Tasfiri yake leo ndo umeona Ben 8 hakustahili mlivotendea Hali ulimnanga Sana atendewe kama mwenyekiti wa Kijiji alivokuwa akihukumu.Naona Yesu amefufuka leo moyoni mwako
 
kwa hiyo unaomba radhi kwa bensaa8

mlimtupa wapi
Itajulikana tu kaburi huwa alijifichi.Hakuna kifo kilichowahi fichwa hata ufiche vipi wakati ukifika itajulikana tu,hata ukiuwa mtu kwa Siri huwezi ficha Siri kuna third eyes ni kama satellite huwa inaangaza yote chini ya jua.Mfalme wa saudia alijitahidi kuficha mauaji ya Kashogi alishindwa,mobutu ya lumumba,Al compaore ya Thomas Sankara,Moi ouko, Mugabe Tsvangirai,Abacha saro wia,Menguistu Haile sellasie,hakuna mwanadamu aliyefaulu ficha kifo cha mwanadamu mwenzake
 
Back
Top Bottom