Mara ya mwisho kuokota pesa ilikuwa ni 25/10/2015.Hivi siku hizi kuna watu wanaokotaga pesa? Me hata sikumbuki mara ya mwisho lini
Mara ya mwisho kuokota pesa ilikuwa ni 25/10/2015.
Tangu aingiee Yohana Mkandamizaji sijawahi okota hata sumni