Hadithi ya kweli ya maisha yangu

Inaendelea...

Baada ya binamu yangu kuja home kuonana na shangaz yake nilijawa na hofu na nikaona suluhisho ni kukimbia kuepuka msala ule.Mbali na msala huo nilkua na msala mwingine na Washkaji wa mtaani ( hapo tulipokua tunaishi ) waliniazimisha Raba zile convince kipindi hicho ndo zilkua kwenye fashion sasa me nilienda nazo skuli ticha akanivua ( raba zilkua haziruhusiwi shuleni ) basi bna washkaji wakawa wanataka Raba zao me nikupanga tu njooni kesho, kesho ikawa kesho wakaanza kuniwinda wanipige me nilkua na wakwepa kimtindo.

Sasa cku hyo nilivyo kimbia home kuepuka ule msala ghafla bin vuuh nikakutana nao hao washkaji walikua watano walikua kishari cku hyo wakitaka niwape viatu vyao.Ilibidi niwe mpole tu maana wao nilkua siwawazi sana akili yote ilikua home nilkua nawaza nitasolve vipi tatizo maana Mama nae alikua ni mtata mzee ndo usiseme.

Washikaji waliniacha niliwaahid kuwalipa hela ili wanunue raba nyingne wakakubali ( ila mpk leo sikuwalipa ) midaa iliendelea kwenda ikafika saa mbili usiku niko mitaani tu nikijilaumu kwa tukio nililolifanya siku hyo ilipofika saa tatu nikaamua nirudi tu home lolote litakalo tokea litokee tu maana mimi ndo nimelianzisha basi lazima nilimalize.Nilirud home nikiwa nimeweka sura ya huruma ili nionewe huruma 😉😉 nilimkuta Sista na Mama ndo wanaanda msosi wa night.

Mama aliponiona nje alinambia tu " sasa utakimbia mpk lini ingia ndani ule' basi nikajua huo ni mtego anataka kuniotea anile mboko.Nilikua nasita kwenda ila ilinibidi niingie tu ndani nilijiandaa kwa lolote.Nilifika meza ya chakula kujumuika na wenzangu kula nikamega kama tonge tatu mara mzee akaja sebuleni kula ( alikua chumbani kwake ).

Alinambia tu niache kula nikalale maana zile hela nilizokuwa namtapeli binamu zilinitosha kula.Niliamka speed kuelekea chumban kwangu kulala nilkua namuogopa mzee vibaya mno.Nacho mshukuru Mungu sikupigwa nilionywa tu maisha yakaendelea kama kawaida.

Mwaka huo huo nahisi ndo Ilikua Musoma makundi yameshika kasi kutekana simu, hela n.k ilkua ni jambo lakawaida sana.

Kuna siku nilikorofishana tena wale masela waliokua wananidai Raba chanzo ilkua ni Cd ya porn niliwaazima kuona, nilivyoiona nikaenda nayo shuleni jamaa mmoja aliivunja kibahati mbaya.jamaa walikuja cku hyo home kufata cd nikawaambia
imevunjika.

Hawakua waelea nikaona suluhu ni kuzichapa mkono, cku hyo walikua wawili niliwapiga na lile dude la kuchotea chips ( Jalo ) wakakimbia nikajua nimeshinda.

Kesho yake sasa huo ugomvi sitausahau maana umeniachia makovu ambayo hayafutiki.

Siku hyo nilkua shule kama kawaida kumbe jamaa cku hyo hawakwenda shule (wote tulkua kidato cha kwanza ila shule tofauti mmoja alikua anasoma Paroma secondary mwingine Mwembeni High School ) Jaama walienda kunikodia wahuni wa Mbio za vijiti wakaja kuniwinda pale Mwisenge primary walijua ndo njia nayopita.

Tumetawanyika vizur natembea na rafiki zangu ninaosoma nao Mara ghafla nawaona wako mbele yangu, walikua watano, Wale washkaji wawili na hao wahuni watatu.Sikutaka kuwakimbia maana niljua nikikimbia nitawapa credit sana nikawafata walipokua wamesimama......

Nitarudi baadae........
 
Inaendelea...

Baada ya binamu yangu kuja home kuonana na shangaz yake nilijawa na hofu na nikaona suluhisho ni kukimbia kuepuka msala ule.Mbali na msala huo nilkua na msala mwingine na Washkaji wa mtaani ( hapo tulipokua tunaishi ) waliniazimisha Raba zile convince kipindi hicho ndo zilkua kwenye fashion sasa me nilienda nazo skuli ticha akanivua ( raba zilkua haziruhusiwi shuleni ) basi bna washkaji wakawa wanataka Raba zao me nikupanga tu njooni kesho, kesho ikawa kesho wakaanza kuniwinda wanipige me nilkua na wakwepa kimtindo.Sasa cku hyo nilivyo kimbia home kuepuka ule msala ghafla bin vuuh nikakutana nao hao washkaji walikua watano walikua kishari cku hyo wakitaka niwape viatu vyao.Ilibidi niwe mpole tu maana wao nilkua siwawazi sana akili yote ilikua home nilkua nawaza nitasolve vipi tatizo maana Mama nae alikua ni mtata mzee ndo usiseme.Washikaji waliniacha niliwaahid kuwalipa hela ili wanunue raba nyingne wakakubali ( ila mpk leo sikuwalipa ) midaa iliendelea kwenda ikafika saa mbili usiku niko mitaani tu nikijilaumu kwa tukio nililolifanya siku hyo ilipofika saa tatu nikaamua nirudi tu home lolote litakalo tokea litokee tu maana mimi ndo nimelianzisha basi lazima nilimalize.Nilirud home nikiwa nimeweka sura ya huruma ili nionewe huruma 😉😉 nilimkuta Sista na Mama ndo wanaanda msosi wa night.Mama aliponiona nje alinambia tu " sasa utakimbia mpk lini ingia ndani ule' basi nikajua huo ni mtego anataka kuniotea anile mboko.Nilikua nasita kwenda ila ilinibidi niingie tu ndani nilijiandaa kwa lolote.Nilifika meza ya chakula kujumuika na wenzangu kula nikamega kama tonge tatu mara mzee akaja sebuleni kula ( alikua chumbani kwake ). Alinambia tu niache kula nikalale maana zile hela nilizokuwa namtapeli binamu zilinitosha kula.Niliamka speed kuelekea chumban kwangu kulala nilkua namuogopa mzee vibaya mno.Nacho mshukuru Mungu sikupigwa nilionywa tu maisha yakaendelea kama kawaida.

Mwaka huo huo nahisi ndo Ilikua Musoma makundi yameshika kasi kutekana simu, hela n.k ilkua ni jambo lakawaida sana.

Kuna siku nilikorofishana tena wale masela waliokua wananidai Raba chanzo ilkua ni Cd ya porn niliwaazima kuona, nilivyoiona nikaenda nayo shuleni jamaa mmoja aliivunja kibahati mbaya.jamaa walikuja cku hyo home kufata cd nikawaambia imevunjika.Hawakua waelea nikaona suluhu ni kuzichapa mkono, cku hyo walikua wawili niliwapiga na lile dude la kuchotea chips ( Jalo ) wakakimbia nikajua nimeshinda.

Kesho yake sasa huo ugomvi sitausahau maana umeniachia makovu ambayo hayafutiki.
Siku hyo nilkua shule kama kawaida kumbe jamaa cku hyo hawakwenda shule ( wote tulkua kidato cha kwanza ila shule tofauti mmoja alikua anasoma Paroma secondary mwingine Mwembeni High School ) Jaama walienda kunikodia wahuni wa Mbio za vijiti wakaja kuniwinda pale Mwisenge primary walijua ndo njia nayopita.
Tumetawanyika vizur natembea na rafiki zangu ninaosoma nao Mara ghafla nawaona wako mbele yangu, walikua watano, Wale washkaji wawili na hao wahuni watatu.Sikutaka kuwakimbia maana niljua nikikimbia nitawapa credit sana nikawafata walipokua wamesimama......

Nitarudi baadae........
Aisee! Nadhani saivi utakua ni mchungaji
 
Back
Top Bottom